Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Bangi, na ndio maana havikusaidii kwa hiyo ni uthibitisho wa mibange.

Unachana karatasi wakati ulichokisoma kipo kichwani. Haujui cheti ni sawa na ticketi ya basi inathibitisha tu kuwa umelipa lakini kinachokusafirisha ni pesa yako sio ticketi. Sawa na cheti ni uthibitisho tu kuwa umesoma chuo na kozi fulani lakini usitegemee cheti kitaajiriwa au kujiajiri kikuingizie pesa. Ndio maana kuna interview kuchuja vilaza kama wewe sawa na kwenye basi konda kukagua ticketi kubaini wazamiaji.

Chana au kata kichwa chako basi tukuone mjanja.

Achana na bangi za kuvutia kwenye mafuriko.
Hatari....
 
Ni kosa, vyeti ni muhimu. Leo ni fani ya udaktari na ufamasia vinahitajika vyeti ili kufanya shughuli kama hizo, eg kufungua hospitali au duka la dawa. Mbele ya safari hiyo garage ya chini ya mwembe unaweza ambiwa mpaka uwe na degree ya uhandisi mitambo, machinga au duka awe na degree ya biashara, nk nk.
Lost report kwani ni sh ngapi?
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Umevumilia sana siku zote hizi kwahyo ulikuwa unasubiri hela mara moja kwa mwezi kama unaenda period.shida ya wengi ni uoga.karibu kwa wanaume
 
Back
Top Bottom