Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

wasio na vyeti wanaishije?
Ambaye hana vyeti hana tu, hata ikitokea mchongo wa ajira hawezi shituka. Ila kama unavyo ndani sio lazima uvichane, unaweza kuvitunza ukaendelea na mishe zingine.

incase kuna mchongo utavitumia.
 
Ambaye hana vyeti hana tu, hata ikitokea mchongo wa ajira hawezi shituka. Ila kama unavyo ndani sio lazima uvichane, unaweza kuvitunza ukaendelea na mishe zingine.

incase kuna mchongo utavitumia.
Ameamua kutokuwa navyo hivyo sidhani kama ana haja ya kufikiria asichokuwa nacho
 
Safi sana tukutane mtaani, vyangu alichana X.
Kongolee mwana JF
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Wewe jembe mkuu, weka picha
 
Vichane ukafungie maandazi japo vitakua vimepata kazi baada ya miaka yote hiyo
 
Back
Top Bottom