Hatimaye leo nimefikisha likes 1,000

Hatimaye leo nimefikisha likes 1,000

Unga na nn
Screenshot_2023-04-07-16-47-27-688_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
asiyeshukuru kidogo hata kingi hawez shukuru, kila mtu ana kiwango ambacho amejipangia amefika [emoji122] ndo mana ameshukuru [emoji2369][emoji2369]
 
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF.

Kwenye kuipambania hii ndoto ya kufikisha likes 1000 nimepitia changamoto nyingi, miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na kuanzisha bandiko wakati mwingine halina ukweli pia kuna muda inakulazima ukomenti kinyume kabisa na matakwa pamoja na maono yako Ili tu nipate like.

Sasa nimefikisha lengo, ahsanteni wote mlio like chochote nilichotoa humu wakati mwingine ni pumba ila wanangu wa nguvu mlilike.

Napenda sana likes, naomba muendelee kunipa likes japo mwandiko wangu siyo mzuri.

Niambie wewe ulipata like 1000 mwaka gani?
Taifa linalokosa uaminifu, uadilifu katika vitu vidogo, haliwezi kuwa na uaminifu, uadilifu katika mambo makubwa na ya msingi.
Vitu kama hivi vinachukuliwa kimzaha, ila Tz imeshapotea pakubwa sana kwa tabia kama hizi za WaTz!
 
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF.

Kwenye kuipambania hii ndoto ya kufikisha likes 1000 nimepitia changamoto nyingi, miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na kuanzisha bandiko wakati mwingine halina ukweli pia kuna muda inakulazima ukomenti kinyume kabisa na matakwa pamoja na maono yako Ili tu nipate like.

Sasa nimefikisha lengo, ahsanteni wote mlio like chochote nilichotoa humu wakati mwingine ni pumba ila wanangu wa nguvu mlilike.

Napenda sana likes, naomba muendelee kunipa likes japo mwandiko wangu siyo mzuri.

Niambie wewe ulipata like 1000 mwaka gani?
Hapo ulijiunga 2018 na tuliojiunga juzi tusemeje?
 
Back
Top Bottom