Nadhani pia alisema atabaki kuwa msomaji tu.. Sidhani kama amewahi kuchangia tangia ajitoe..Hajajitoa kama alivyosema account yake inaingia JF kama kawaida.
Kwani wewe ukimtekenya mtu unapata faida gani?Ukiwa sijui notable member unapata faida gani labda?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wewe ukimtekenya mtu unapata faida gani?
Nasubiri jibu coz utakuwa umejijibu
Ha ha ha ha ha ha haNimevuliwa vyeo gani wewe?
Man grow the fcuk up.
JF kuna vyeo gani??
Ngoja nikahonge mods waskufungulie kabisa...Hashtag Bringibakiawanyani😀😀😀
Ngoja nikahonge mods waskufungulie kabisa...
Hizo siku2 ulizopewa hazitoshi
Miss you My dier.kwani alifanya nini?
Naskrinshot hayo matusi humu mods waoneNakuja whatsapp kukutukana....
Naskrinshot hayo matusi humu mods waone
Miss you My dier.kwani alifanya nini?
mzee umebadili id tayari???Mti wenye matunda...
Nawafoadia kwa email au wtspVoice note utai screen shot kiaje?
Mkuu hata cha English ?Mwacheni mchizi mbona mnamuandama hivo? Kwani nae hana cheti?
Mbona una hangaika na nyani ngabu vipi amekunyang'anya bibi nini??Mimi reporter tu sina ugomvi na Nyani Ngabu ila ndo hivyo kavuliwa vyeo kawa wakaida sana ,kawa mdogo kama piriton [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee umepanikiNakuja whatsapp kukutukana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una wivu sana unatamani wote washuke uwe wewe leke yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee umepaniki
ndioMbona una hangaika na nyani ngabu vipi amekunyang'anya bibi nini??
Kwa nini unataka kumtukana Vale ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepaniki nini sasa?