Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hajajitoa kama alivyosema account yake inaingia JF kama kawaida.
706a103cc2679e6da7c21548f6f6a1c4.jpg
Nadhani pia alisema atabaki kuwa msomaji tu.. Sidhani kama amewahi kuchangia tangia ajitoe..
 
Nimevuliwa vyeo gani wewe?

Man grow the fcuk up.

JF kuna vyeo gani??
Ha ha ha ha ha ha ha

Kwa hiyo u member ,senior member ,u expert member ,content controller ,normal mod na huo u platinum member ambao ulikuwa ukitupigia nao kelele ni vitu gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi reporter tu sina ugomvi na Nyani Ngabu ila ndo hivyo kavuliwa vyeo kawa wakaida sana ,kawa mdogo kama piriton [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona una hangaika na nyani ngabu vipi amekunyang'anya bibi nini??
 
Back
Top Bottom