Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Ni nini mantiki ya hoja yako?
 
Faida ya Fitna zao,wameipata....

Wapuuzi wakubwa
 
Nakuunga mkono!

Watu wengi wanaangalia walipo angukia , badala ya kuangalia chanzo cha kuanguka!

Viongozi wengi waafrika wanaharibu nchi zao kwa tabia zao na ushauri mbaya wa wapambe wao wanao faidi mazingira hayo ya uongozi wao either vyeo au biashala na pesa!!

Kung'ang'a madalaka , kujilimbikizia mali zaumma, ubinafsi nk ndio mtego wanao utumia wazungu kuinanga Afrika .

Na watawala wa afrika wanapenda madalaka kuliko kitu chochote , Angalia nchi zote za afrika chanzo cha mauaji na vita ni ubinafsi wa kung'ang'ania madalaka au kugombea madalaka.

Watawala wa nchi za Afrika wanaiogopa sana demokrasia , wakiamini inawaharibia mingo zao , Jambo ambalo ni hatari .

Demokrasia ni jambo la asili ambalo haliwezi kukwepeka , kwani ni sehemu ya maisha ya asili ya binadamu. Hakuna mtu anaye weza kuishi bila uhuru halisi .Demokrasia ni tafsiri ya uhuru halisi autakao binadamu.
 
Japo matumizi L bala R ni makubwa . Lakini umesema ukweli mchungu
 
Hata hapa kwetu haliwezi kutokea achana na Morocco
 
Tusijifiche kwenye kiongozi bora au chama bora. Utaratibu ukiwepo wa kupokezana madaraka uheshimiwe .

Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yale ya kidemocrasia. Kabla kiongozi hajawaza kuwa mungumtu apumzishwe.
Sahihi na ni muhimu sana , si lakupuuzia .
 
Kwahiyo Malkia hana hata chembe ya mamlaka pale uingereza yeye anakula mema ya nchi tu basi hadi kufa kwake?
Swali la kipuuzi kabisa unalirudia mara ishirini . Jenga hoja. Umalkia na Ufalme havigombewi . Usiwe mvivu wa kujielimisha
 
Hivi hapo wa kulaumiwa ni nani? ni Gadafi kung'ang'ania madaraka au hao waliyokinukisha kwa wao nao pia kutaka madaraka?
Chanzo ni Gadafi, kwani ilielezwa kwamba wapinzani walitaka kubadili uongozi kwa njia za amani lakini Gadafi alikuwa anawamaliza kila aliye onyesha dalili za kutaka mabadiliko ya utawala
 
Demokrasia ni jambo la asili , huwezi kupambana nalo milele , Hata nchi za wazungu zilizo kosa demkrasia itawasukuma kwa lazima . Hakika nakwambia demokrasia sio ya kuikwepa bali inapaswa kuwa nayo then kama ikawa na utaratibu mzuri wa kupokezana vijiti
 
Aliyemuua Gaddafi ni muislamu mwenziye . Wala si hao unaowatuhumu.
 
Haya mambo huwa ni automatically kulingana na hisia za wananchi hasa inapi chagizwa na vitendo vya watawala au wataka madalaka, lakini kama kuna mfumo mzuri wa free& imbalance ambapo ni matokeo ya demokrasia hakutakuwa na kundi kubwa la kumsikiliza mchochexi yeyote.

Pia wananchi wanaoaswa kuwa na elimu ya kukitambua na kujiamini huku wakisimamia misimamo yao chanya.
 
Asili how MKUU.
 
Bora wakose wote, sasa tz yakatokea unategemea mm niumie hahaha, siwez kwan sifaidiki hata kidogo na mfumo uliopo wa madicteta wa ficiem, sasa na libya iko hivo ni hiv huduma uzizungumuzazo zilikua ni baadh ya majimbo kama cilite. Hivo baadh wanaenjoy
 
Huu ni msimu wa kuvuna mpunga na pamba ndio kazi unayoiweza mkuu ila co ya libya. Waambie na wenzio humu akina dudus Odhiambo cairo n.k mkapambane ili mulishe familia zenu na kusomesha watoto
Kati ya hawa uliowatag, ni nani umemsikia akiomba chakula na hata karo ya watoto ?!. Hapa tunamzungumzia the late Colonel Muamar Gadhaafi . Ungechangia kumhusu yeye na Libya yake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…