Nakuunga mkono!
Watu wengi wanaangalia walipo angukia , badala ya kuangalia chanzo cha kuanguka!
Viongozi wengi waafrika wanaharibu nchi zao kwa tabia zao na ushauri mbaya wa wapambe wao wanao faidi mazingira hayo ya uongozi wao either vyeo au biashala na pesa!!
Kung'ang'a madalaka , kujilimbikizia mali zaumma, ubinafsi nk ndio mtego wanao utumia wazungu kuinanga Afrika .
Na watawala wa afrika wanapenda madalaka kuliko kitu chochote , Angalia nchi zote za afrika chanzo cha mauaji na vita ni ubinafsi wa kung'ang'ania madalaka au kugombea madalaka.
Watawala wa nchi za Afrika wanaiogopa sana demokrasia , wakiamini inawaharibia mingo zao , Jambo ambalo ni hatari .
Demokrasia ni jambo la asili ambalo haliwezi kukwepeka , kwani ni sehemu ya maisha ya asili ya binadamu. Hakuna mtu anaye weza kuishi bila uhuru halisi .Demokrasia ni tafsiri ya uhuru halisi autakao binadamu.