Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Libya imearibiwa na akina Obama.
Bwana Utam atasema Obama anapenda amani alipewa na tuzo, anasingiziwa.
Bwana Utam atasema Obama anapenda amani alipewa na tuzo, anasingiziwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Tz bora tuendelee kunekana mazezeta na CCM yetu potelea mbal
Umenikumbusha ile movie 13 Hours:The secret soldiers of Benghazi
Umemjibu vyema nchi kama Saud Arabia, Jordan, Qatar,UAE ni ''absolute monarch" yaani familia ya kifalme ndio huunda serikali na kuhodhi madaraka yote ya dolaArgument zako tangu asubuhi sijui unalenga nini ?!. - Je wa UK wamelalanikia mfumo wao ?!
Viongozi wa kuchaguliwa ni wa vyama vinavyounda serikali .
Na si England tu , tunayo Netherlands, German, nk . Kikubwa ni kuwa katiba zao walizokubaliana zinaheshimiwa. Tofauti na Libya Gadhafi was everything
Mkuu umewahi ishi Libya?Kwa walivyokuwa wanaishi (kama peponi) sidhani kama kuna mtu alikuwa na muda wa kufuatilia siasa n.b ni siasa uchwara za marekani ndo zilizompindua kiongozi wao kipenzi muamar gadaffi ,kiongozi pekee mwenye akili afrika
Kula mema ya nchi si hoja.Ila wanakula mema ya nchi peke yao ni sawa na Gadafi alivyokuwa anakula mema ya nchi peke yake.
Afadhali wewe una lugha nzuri ya kuiserehesha. Watu humu wanabisha tu na nia yao iko waziUmemjibu vyema nchi kama Saud Arabia, Jordan, Qatar,UAE ni ''absolute monarch" yaani familia ya kifalme ndio huunda serikali na kuhodhi madaraka yote ya dola
Ila huko UK, Ubelgiji, Uholanzi,Japan hizo ni "Constitutional monarch" ambapo wananchi hupiga kura kuchagua viongozi wanaounda utawala wa kirai ila hivyo vyeo vya kifalme hubakia kama vya heshima, vya utamaduni wa kitaifa au kiongozi wa nchi asiye na madaraka ya kiserikali (dola) ila alama ya taifa.
Nakubali kabisa ila mwisho wa siku ni vilevile tu jamaa wanakula mema ya nchi peke yao na wengine wanapigika.Kula mema ya nchi kwa kufuata katiba mliyokubaliana. Siyo ukawa kila kitu ni wewe
Mimi sina shida na uhalali wa kikatiba wa Malkia mie nasema tu kwamba mwisho wa siku ni yaleyale tu kwamba jamaa wanakula mema ya nchi peke yao na wengine wanapigika.Kula mema ya nchi si hoja.
Malkia Elizabeth yupo pale kwa mujibu wa sheria na katiba. Alikwisha kuchaguliwa kisheria muda mrefu kabla hata ya kurithi kiti.
Sheria zilizompa uhalali kuwa pale zimetungwa na kuwekwa na bunge lenye wawakilishi wa wananchi. Wawakilishi wa wananchi (bunge) ndio wanaotunga sheria za nchi.
Kuhusu suala la mamlaka aliyonayo Malkia, yamewekewa mipaka kikatiba. Malkia wa Uingereza hana mamlaka 'yote'. Hili lilikwisha fanyika miaka mingi iliyopita ila ni uvivu tu wa watu kusoma na kufanya tafiti.
Tukasome nini malkia anachaguliwa nanani ?!
Hujataka kunijibu swali langu ?!Unauliza ukasome nini? Nimesha kuambia nini cha kusoma.
Hayo yote unayouliza hapa nilikwisha kuyajibu muda mrefu. Usiwe mvivu wa kusoma, tafuta maarifa!
Kwahio kama katiba ikikuruhusu unakua sio dikteita ?!Argument zako tangu asubuhi sijui unalenga nini ?!. - Je wa UK wamelalanikia mfumo wao ?!
Viongozi wa kuchaguliwa ni wa vyama vinavyounda serikali .
Na si England tu , tunayo Netherlands, German, nk . Kikubwa ni kuwa katiba zao walizokubaliana zinaheshimiwa. Tofauti na Libya Gadhafi was everything
Kwahio wale walokubaliana wakae milele kwamujibu wakatiba wanakuaje nao ?!Kula mema ya nchi kwa kufuata katiba mliyokubaliana. Siyo ukawa kila kitu ni wewe
Hata wewe umenijibu vizuri ila hujanijibu swali langu MALKIA hana mamlaka sijakataa nataka kujua anachaguliwa nanani ?!Umemjibu vyema nchi kama Saud Arabia, Jordan, Qatar,UAE ni ''absolute monarch" yaani familia ya kifalme ndio huunda serikali na kuhodhi madaraka yote ya dola
Ila huko UK, Ubelgiji, Uholanzi,Japan hizo ni "Constitutional monarch" ambapo wananchi hupiga kura kuchagua viongozi wanaounda utawala wa kirai ila hivyo vyeo vya kifalme hubakia kama vya heshima, vya utamaduni wa kitaifa au kiongozi wa nchi asiye na madaraka ya kiserikali (dola) ila alama ya taifa.
Mmegoma kujibu malkia anachaguliwa nanani ?!...Kula mema ya nchi si hoja.
Malkia Elizabeth yupo pale kwa mujibu wa sheria na katiba. Alikwisha kuchaguliwa kisheria muda mrefu kabla hata ya kurithi kiti.
Sheria zilizompa uhalali kuwa pale zimetungwa na kuwekwa na bunge lenye wawakilishi wa wananchi. Wawakilishi wa wananchi (bunge) ndio wanaotunga sheria za nchi.
Kuhusu suala la mamlaka aliyonayo Malkia, yamewekewa mipaka kikatiba. Malkia wa Uingereza hana mamlaka 'yote'. Hili lilikwisha fanyika miaka mingi iliyopita ila ni uvivu tu wa watu kusoma na kufanya tafiti.
Wamegoma kujibu kama unajua nijibu MKUU.....Hahahaha nice quiz mkuu
Obama ni shetani mkubwa sana,mshenzi huyu
Soma history ya Gaddafi.Kwahio wale walokubaliana wakae milele kwamujibu wakatiba wanakuaje nao ?!
Mbna hamuelewi mnapinga nini ?!..
Elizabet kakubaliwa nanani akaemilele pale alipo ?!.Soma history ya Gaddafi.
-Alimpindua mfalme Idris.
- Hakuna aliyemkubalia kukaa milele