Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Libya imearibiwa na akina Obama.
Bwana Utam atasema Obama anapenda amani alipewa na tuzo, anasingiziwa.
 
Umemjibu vyema nchi kama Saud Arabia, Jordan, Qatar,UAE ni ''absolute monarch" yaani familia ya kifalme ndio huunda serikali na kuhodhi madaraka yote ya dola

Ila huko UK, Ubelgiji, Uholanzi,Japan hizo ni "Constitutional monarch" ambapo wananchi hupiga kura kuchagua viongozi wanaounda utawala wa kirai ila hivyo vyeo vya kifalme hubakia kama vya heshima, vya utamaduni wa kitaifa au kiongozi wa nchi asiye na madaraka ya kiserikali (dola) ila alama ya taifa.
 
Na gadaff anamakosa huwez tawala watu miaka 42 lakn pia ikiwa unatawaliwa bila democrasia hiyo ya kizungu na ikiwa kila kitu chako kinakwenda sawa,tatz nn?,walibya nao waliziguwa
 
Kwa walivyokuwa wanaishi (kama peponi) sidhani kama kuna mtu alikuwa na muda wa kufuatilia siasa n.b ni siasa uchwara za marekani ndo zilizompindua kiongozi wao kipenzi muamar gadaffi ,kiongozi pekee mwenye akili afrika
Mkuu umewahi ishi Libya?
Usiite pepo mahali ambapo wenzio wanaita motoni.
Kosa la kiufundi alilifanya Gadafi mwenyewe.
Us walifanya kugongea msumari tu.
 
Ila wanakula mema ya nchi peke yao ni sawa na Gadafi alivyokuwa anakula mema ya nchi peke yake.
Kula mema ya nchi si hoja.

Malkia Elizabeth yupo pale kwa mujibu wa sheria na katiba. Alikwisha kuchaguliwa kisheria muda mrefu kabla hata ya kurithi kiti.

Sheria zilizompa uhalali kuwa pale zimetungwa na kuwekwa na bunge lenye wawakilishi wa wananchi. Wawakilishi wa wananchi (bunge) ndio wanaotunga sheria za nchi.

Kuhusu suala la mamlaka aliyonayo Malkia, yamewekewa mipaka kikatiba. Malkia wa Uingereza hana mamlaka 'yote'. Hili lilikwisha fanyika miaka mingi iliyopita ila ni uvivu tu wa watu kusoma na kufanya tafiti.
 
Afadhali wewe una lugha nzuri ya kuiserehesha. Watu humu wanabisha tu na nia yao iko wazi
 
Mimi sina shida na uhalali wa kikatiba wa Malkia mie nasema tu kwamba mwisho wa siku ni yaleyale tu kwamba jamaa wanakula mema ya nchi peke yao na wengine wanapigika.
 
Kwahio kama katiba ikikuruhusu unakua sio dikteita ?!

Ishu katiba ishu kua kila kitu ?! Mbna hueleweki ?!

Hayo mataifa mengine aijayaulizia nimetaka kujua tu MALKIA anachaguliwa nanani kupitia nini ?!.....
 
Hata wewe umenijibu vizuri ila hujanijibu swali langu MALKIA hana mamlaka sijakataa nataka kujua anachaguliwa nanani ?!
 
Mmegoma kujibu malkia anachaguliwa nanani ?!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…