Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Messi Ni Mchezaji Wa Kawaida Sana!! Kama Yeye Ni Bora Atoke Hapo Alipo Aende Ata Girona Alafu Tuone Ubora Wake Laki Cr7 Ata Umlete Mtibwa Sugar Lazma Watu Wapigwe Tu
Ronaldo ni lini alienda timu ndg akawa bora.
Afu acha ujinga eti unamwambia mwalimu wa degree aende akafundishe chekechea hayo ni matumizi mabaya ya resources.
 
labda aende uko girona kuwa mmiliki sio mchezaj maana uwezo wake ameizid timu kila idara
 
Messi Ni Mchezaji Wa Kawaida Sana!! Kama Yeye Ni Bora Atoke Hapo Alipo Aende Ata Girona Alafu Tuone Ubora Wake Laki Cr7 Ata Umlete Mtibwa Sugar Lazma Watu Wapigwe Tu

Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe, hata mumchukie vipi huyu ndiye baba wa soka, hakuna cha Diego,cr7,pele,zidane wala gaucho...hawa wote ni wachumba tu kwa KING
 
Ronaldo ni lini alienda timu ndg akawa bora.
Afu acha ujinga eti unamwambia mwalimu wa degree aende akafundishe chekechea hayo ni matumizi mabaya ya resources.

Hawa viumbe wa ajabu sana, mwanzo walipiga sana kelele eti aende epl waone ubora wake 😂😂😂 sisi watu weusi tuna matatizo sana. Mara ngapi kakutananazo hizo tim na kazibutua tena the big teams

Arsenal kawatungua goli 9
Man city goli 6
Chelsea goli 3
Spurs goli 2
Man u goli 2

jumla goli 22..
 
Back
Top Bottom