Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Watu wabishi Sana Ila ukweli haufichiki kwamba Messi si wa kufananishwa na wanamitindo.

Sio wanamitindo tu kiongozi. Ni Duniani kote___kwanzia soka lianze kuchezwa mpaka sasa hana mpinzani. Kuna mijitu inayojifanya inalijua soka itakuja kupinga hata hili.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Soka walilopigiwa utasema Chelsea ndio wapo ugenini.

Hahahaaaa alaf apo apo wanakuambia ligi ya uingereza ni bora 😀😀😀

Ball possession..

Chelsea 27%_______73% Barca, Home away

I hope nyumbani itakuwa ivi,

Barca 90%_______ 10% Chelsea
 
  • Thanks
Reactions: PNC
messi hajulikani Argentina ila wewe uliyehuku Africa unamjua messi aiseee ...hahaa hii silaana hii...acha kuvuta bangi dogo
Kiujumla hana jipya sababu matokeo yake ni kwa Bacca tu vp nyumban kwake kaleta nn ,unawezaje kumlinganisha na Cr7 Mwenye matokeo ndani na nje ya timu yake? Unawezaje kumlinganisha na uyu mwamba ambae kahama ligi bado kote nimwamba? Uyundo baba lao.
 
Kiujumla hana jipya sababu matokeo yake ni kwa Bacca tu vp nyumban kwake kaleta nn ,unawezaje kumlinganisha na Cr7 Mwenye matokeo ndani na nje ya timu yake? Unawezaje kumlinganisha na uyu mwamba ambae kahama ligi bado kote nimwamba? Uyundo baba lao.
Bado unaangaliaga match kwenye gazeti mkuu!!
 
Huyu ndiye the The king original kuwahi kutokea ktk ulimwengu wa soka. Dahh Magoli yote ya ufundi kama kawaida yake ,,,, kwenye assist hivyo hivyo kapiga watu chenga kaassist then dembele akawasha...safi sana mwanaume.
 
“He’s still not at the heights of Maradona and Pele, but he’s not far away,” Drogba told Sport.
 
Since nizaliwe na sasa naelekea kwenye 40 yrs old bado sijaona mchezaji aliyemzidi Leo Messi. Kwa mbaali Diego Maradona

Leo Messi then Diego Maradona, hawa ndiyo wakusanya vijiji ambao mpaka sasa hakuna aliyewafikia.
 
Usimfananishe King Messi na vitu vya kijinga mkuu,,,huyu ni mchezaji bora kuwahi kutokea,si maradona pele wa cr7 wote hao hawafui dafu hata kidogo
Alikuwa anabebwa na ubora wa barca,yajayo yanafurahisha pale Nou camp
 
Back
Top Bottom