mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Huyu kijana tokea kipindi kila akikutana na sisi na kina babu wenger anajipigia tuuu, nilikuwa namchukia namuombea mpaka majeruhi ila nasikitika kuwa uwezo wake umezidi kiwango cha chuki zangu, nimenyoosha mikono. Kuna skills nikizimiss huwa baenda kumchungulia youtube, huyu na gaucho ni kati ya viumbe vinavyonitia hasara sana za mb.