Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Sijawahi kukutana na mada dhaifu na bias kama hii...........
 
Kwani anayechukuaga tuzo ya mfungaji bora maana yake alifunga peke yake bila msaada wa watu wengine au uwanjani alicheza peke yake?
Kwani hiyo tuzo huwa analinganishwa peke yake? Si huwa kuna wachezaji kadhaa wanaingizwa kwenye draw kisha kura zinapigwa? Sasa hiyo clip anaonekana yeye peke yake kinyume hata cha kanuni za kutoa tuzo ya mchezaji bora.
 
Back
Top Bottom