Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Kudhibitisha ubora lazma uangalie changamoto tofauti na upate mafanikio kila ulipokanyaga. Kuonyesha mesi hamna kitu kashindwa pata mafanikio hata na agentina
Hakuna team ya kumnunua messi kwanza ujue hilo
 
Hapa nazungumzia uwezo binafsi wa mchezaji kama zidane, Ronaldinho, na hata J okocha kumiliki mipira na kufunga sasa messi wako waweza muweka kwenye hilo kundi? Jibu ni hapana

So unataka kuudanganya uma kuwa gaucho, zidane na jj okocha ni zaidi ya Messi!!! Serious!!! Hata mtoto mdogo hadanganyiki kihivyo Mkuu. Maradona na Pele wameachwa mbali sana sembuse hao ulowataja!! Hizi jokes aise...
 
Hela anayolipwa Messi, Cr7 hamfikii hata! Uhame unatafuta nn tena?

Jana CIES wametoa ripoti ya thanani ya wachezaji.
1. Neymar € 213
2. Messi € 202.2

49. Cr7 wa 49...€ 80

Hata data za msimu jana, individually, Messi was better than Cr7. Kilicho mbemba ni mafanikio ya msimu huo ya Club kama Club ila siyo yy kama yy.
Ukizungumzia pesa ronado na mesi ni mbingu na dunia hata nusu mesi hafiki. Kama mafanikio tu ya club wangempa basi hata benzema nae si yupo Madrid. Unatuletea takwimu za vijalida uchwara APA cr ni hatari anachukua kila atakacho
 
Hakuna team ya kumnunua messi kwanza ujue hilo

Bro hawa tulishawazoea,, moyoni wanajuwa Messi ndiye baba wa soka asiyefananishwa na yeyote. Ila chuki zimezidi inamfikia mtu hadi anaropoka na kumlinganisha na Gaucho. Wakati Gaucho na Messi wapi na wapi,, ni kama simba na mbweha 😛😛
 
Un
So unataka kuudanganya uma kuwa gaucho, zidane na jj okocha ni zaidi ya Messi!!! Serious!!! Hata mtoto mdogo hadanganyiki kihivyo Mkuu. Maradona na Pele wameachwa mbali sana sembuse hao ulowataja!! Hizi jokes aise...
fananisha Pele na maradona na vitu vya ajabuajabu kweli wewe
 
Cr 7 hahaaa yule mnyama sjui kama ntakuja kumwona MTU kama yule kwenye maisha yangu ya soka
 
Ukizungumzia pesa ronado na mesi ni mbingu na dunia hata nusu mesi hafiki. Kama mafanikio tu ya club wangempa basi hata benzema nae si yupo Madrid. Unatuletea takwimu za vijalida uchwara APA cr ni hatari anachukua kila atakacho
Individual Ability huwezi Compare Cr7 na Messi. So after Messi it was Cr7 not Benzema as you want! Statistics not mere words!

Messi is Genious, born talented! Cr7 is too Exercisal, Physical & na performance yake huonekana kwa ku score Goals only!! Messi huonekana Performing hata asipo score Goal yy!! Na ndie kinara wa Goals ktk hii sayari kwa sasa...

Pia uwe unaelewa vitu.....
Nimesema mshahara. Kwa sasa Messi anamzidi mbali Cr7.

Afu kusema Pesa eti ni mbingu na dunia ni uongo mkubwa sn.

Ni Kweli Cr7 anamzidi pesa Messi kutokana na Matangazo mbalimbali ila the difference ni ya kawaida sn tu. Na ukumbuke Cr7 anamecheza mpira b4 Messi (kamtangulia). Vilevile Cr7 ni mkubwa ki umri kumzidi Messi by 2yrs more!! Na kwa kiwango cha Cr7 kwa sasa tegemea verysoon atapigwa Gap la hatari sn na hasimu wake Messi.

Messi ana miaka mingi mbele ya kucheza mpira. Cr7 is finished! Angalia hata Goal differences btn the two utajua nacho ongea.

Jaribu hata ku google uone statistics. Siyo kuongea vitu bila data.
 
Back
Top Bottom