Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

Mkuu bado tuna mjadala wa zawadi ya gari
Hahahahaha...

Achana na kitu kinachoitwa Intelligence Mkuu.....ikifika kesho hilo tukio ndo limeisha hivyo linaibuka jingine.

binadamu tuna vichwa vya kusahau mapema sana.

Unakumbuka ya CAG?
 
Hamna kitu wale Mkuu...

Labda teknolojia nyingine,tena za kawaida..ila kwenye mambo ya roketi + anga za mbali huwa wanafeli sana.
kwa upeo wako unadhani taifa gani ni zuri , kwenye anga la kurusha roketi.
 
Mchina kwa kutengeneza mafekeche hapana kwa kweli
Anataka kujitangaza kuwa na yeye ni mtu wa kimajuu zaidi,kumbe kuna mambo mengine anahitajika atulie tu.

Kila nchi ina fani yake..ndo maana NK kwenye issue ya makombora ya nyuklia humwambii kitu.
 
[emoji23][emoji23]...kwa hiyo mtaa ulikuwa unadunda halo fresh tuu,au sio?
Yani nilikuwa napata stress Sana,nikipanda daladala naweka helmet yangu kwenye begi..nikishuka Tu naitupia kichwani naingia zangu mtaani kwenye mishe..hii kuangukia baharini imekuwa afadhali [emoji1787]
 
USA boss...

Wale wametuma vyombo hadi mars...

+ kwenda anga za mbali

Alafu umeniqoute kimadharau sana Chief,kwa "upeo" wangu?-sijaipenda hii.
hapana mkuu nipo kwenye swaum na unajua mida ndo tunakaribia kukata utepe...nisamehe tu mkuu.
 
Yani nilikuwa napata stress Sana,nikipanda daladala naweka helmet yangu kwenye begi..nikishuka Tu naitupia kichwani naingia zangu mtaani kwenye mishe..hii kuangukia baharini imekuwa afadhali [emoji1787]
Hahahahah..

Noma sana,saiv fresh endelea kudunda kwa starehe[emoji23]
 
hapana mkuu nipo kwenye swaum na unajua mida ndo tunakaribia kukata utepe...nisamehe tu mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]....naelewa naelewa Mkuu.

Muda ndo huu
...piga vitu mwamba.

Pata pata nguvu utukumbuke kwenye kale kamchezo chetu ka namba Boss.
 
Hahahahaha...

Achana na kitu kinachoitwa Intelligence Mkuu.....ikifika kesho hilo tukio ndo limeisha hivyo linaibuka jingine.

binadamu tuna vichwa vya kusahau mapema sana.

Unakumbuka ya CAG?
Ndo maana inaitwa the United republic of Tanzakiza(wadanganyika)
 
hapana mkuu nipo kwenye swaum na unajua mida ndo tunakaribia kukata utepe...nisamehe tu mkuu.
Ukishapata iftar muorodheshee majanga ya vyombo vya anga vya amerika, bila kusahau lile tukio la mwaka 1986 la Challenger. Hapa nyumbani gazeti la mwenge lilituhabarisha kwa kina!
 
Ukishapata iftar muorodheshee majanga ya vyombo vya anga vya amerika, bila kusahau lile tukio la mwaka 1986 la Challenger. Hapa nyumbani gazeti la mwenge lilituhabarisha kwa kina!
Ooh..kwa hiyo wanaanza mdogo mdogo au sio?

Kama mtoto anayetambaa
 
Back
Top Bottom