Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

Punguzeni wivu. Msimu mzima umepita, hata medali za kombe la mapinduzi tu hamna!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuambia andaa leso za cotton, maana machozi yatakua yanachucha mda wotee.
 
Hongera kwao kwa kupata medali mbele ya timu inajitafuta nafasi za mwishoni huko[emoji3][emoji3][emoji3] USM Alger ni Chelsea ya Africa
255624967016_status_fb0c52ebf5804d078983b3be76a56823.jpg
 
Huoni ana gemu tatu mkononi akishinda anaweza kwea hadi nafasi ya tatu
Ila As Alger na yeye ana mechi moja kwa hyo akishinda atakuwa na 42......
Halafu nani kakwambia ligi yao ni kama ya kumfunga Singida utakavyo😀😀
 
Waalikwe mjengoni😝, sio kwa ushikiano huo waliopewa na serikali, lazima wakaonyeshe walichovuna.
 
Kwahiyo tunapaswa kufurahia medali? Medali ni tunu binafsi za wachezaji, lingekuwa ni kombe angalau tungesimama kama taifa.

Tumieni akili.
Mnafurahia nyinyi kama nani? Tukifurahia sisi mashabiki wa Yanga, mafanikio ya timu yetu ndani ya misimu hii miwili inatosha sana.

Na nyinyi furahieni mafanikio ya timu yenu kuishia robo fainali.
 
Back
Top Bottom