Mna wivu kushinda hata dada zenu! Kwa kweli mnajiaibisha.Kwahiyo tunapaswa kufurahia medali? Medali ni tunu binafsi za wachezaji, lingekuwa ni kombe angalau tungesimama kama taifa.
Tumieni akili.
Punguzeni wivu. Msimu mzima umepita, hata medali za kombe la mapinduzi tu hamna!!!Hingereni kwa kutwaa ubingwa wa medali
Ucheke huku maumivu kumoyo. Kuleni pole😆 😆 😆 😆 😆
Nilikua sitaki kucheka..
Kesho wanatimba ikulu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nilikua sitaki kucheka..
Kesho wanatimba ikulu...
Wivu mpaka kichefuchefu sasaPunguzeni wivu. Msimu mzima umepita, hata medali za kombe la mapinduzi tu hamna!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuambia andaa leso za cotton, maana machozi yatakua yanachucha mda wotee.Punguzeni wivu. Msimu mzima umepita, hata medali za kombe la mapinduzi tu hamna!!!
Huoni ana gemu tatu mkononi akishinda anaweza kwea hadi nafasi ya tatuHongera kwao kwa kupata medali mbele ya timu inajitafuta nafasi za mwishoni huko[emoji3][emoji3][emoji3] USM Alger ni Chelsea ya AfricaView attachment 2646393
Ila As Alger na yeye ana mechi moja kwa hyo akishinda atakuwa na 42......Huoni ana gemu tatu mkononi akishinda anaweza kwea hadi nafasi ya tatu
Tatizo umemaliza maneno yote..Ila As Alger na yeye ana mechi moja kwa hyo akishinda atakuwa na 42......
Halafu nani kakwambia ligi yao ni kama ya kumfunga Singida utakavyo😀😀
Hata Mimi nayashangaa sana haya "mabuzwazwa"Timu iliyopoteza malengo inawacheka waliofanikisha malengoView attachment 2646357
Naendelea kutoa poe kwa utopolo kwa kunyang'anywa tonge mdomoniUcheke huku maumivu kumoyo. Kuleni pole
Maneno ya mkosaji, mfa Maji haachi kutapatapa.Medali inatofauti gani na shanga wanazovaa wanawake.
Mnatia huruma. Trip hii mmetembelea rim haswaNaendelea kutoa poe kwa utopolo kwa kunyang'anywa tonge mdomoni
Mnafurahia nyinyi kama nani? Tukifurahia sisi mashabiki wa Yanga, mafanikio ya timu yetu ndani ya misimu hii miwili inatosha sana.Kwahiyo tunapaswa kufurahia medali? Medali ni tunu binafsi za wachezaji, lingekuwa ni kombe angalau tungesimama kama taifa.
Tumieni akili.
KUMBE YANGA WALIKUWA WANATAKA UBINGWA WA MEDALI?Baada ya kumchapa mwarabu nyumbani kwake hapo jana Yanga SC na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa medali hatimaye wamerejea nchi na ubingwa wao.
View attachment 2646333
View attachment 2646334