DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sema sisi wabongo tunapenda hela za bure Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are smart.Ukiwajibu na ukawatumia screenshot za hizo hotel wanakupa kama elf 5 kisha wanatoa task kama 3 au 5 hivi unakuwa umekusanya kama elfu 30 hiv kisha wanakwambia uchague sijui maherufi A, B, C hadi D kila moja ina bei yake kisha wanakutumia number ya kuweke hiyo hela then wakutumie ile 30 yako na bonas yaani hela unayopaswa kuweka inaweza kuwa laki 1 au 2 kisha wakupe la 1 na nus au 2 na nusu jumlisha ile 30 yako. Kwa wajanja wakifika hapo wanawakataa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sana, ivi Kwa akili ya kawaida tu mtu umekula hio 30 afu anataka umtumie kilo daaah ujinga mwingine bn [emoji1787] daaahUkiwajibu na ukawatumia screenshot za hizo hotel wanakupa kama elf 5 kisha wanatoa task kama 3 au 5 hivi unakuwa umekusanya kama elfu 30 hiv kisha wanakwambia uchague sijui maherufi A, B, C hadi D kila moja ina bei yake kisha wanakutumia number ya kuweke hiyo hela then wakutumie ile 30 yako na bonas yaani hela unayopaswa kuweka inaweza kuwa laki 1 au 2 kisha wakupe la 1 na nus au 2 na nusu jumlisha ile 30 yako. Kwa wajanja wakifika hapo wanawakataa.
Yaani hawa wanatuona watu wajinga sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sana, ivi Kwa akili ya kawaida tu mtu umekula hio 30 afu anataka umtumie kilo daaah ujinga mwingine bn [emoji1787] daaah
West Afrika hao israel hawana time na utapeliMm muda huu nimetextiwa na waisrael wa company wa IT mpaka sa sa sijawajibu...
Wanasema wanataka kunipa mchongo wa pesa😂😂😂
Biashara inalipa sana hii kwenye watu 10 lazima wawili wajichanganyeMe niliwahi kula 35k zao.
Na juzi Jmosi wakaleta za uso nikala 5k nikalala mbele.
+972West Afrika hao israel hawana time na utapeli
Watu wa west wanasafiri lengo kubwa ni kufanya utapeli+972
Hii code ndio imenitext soon nta screen short..
Hatare sanaaWatu wa west wanasafiri lengo kubwa ni kufanya utapeli