Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

Ukiwajibu na ukawatumia screenshot za hizo hotel wanakupa kama elf 5 kisha wanatoa task kama 3 au 5 hivi unakuwa umekusanya kama elfu 30 hiv kisha wanakwambia uchague sijui maherufi A, B, C hadi D kila moja ina bei yake kisha wanakutumia number ya kuweke hiyo hela then wakutumie ile 30 yako na bonas yaani hela unayopaswa kuweka inaweza kuwa laki 1 au 2 kisha wakupe la 1 na nus au 2 na nusu jumlisha ile 30 yako. Kwa wajanja wakifika hapo wanawakataa.
You are smart.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sana, ivi Kwa akili ya kawaida tu mtu umekula hio 30 afu anataka umtumie kilo daaah ujinga mwingine bn [emoji1787] daaah
 
Mm muda huu nimetextiwa na waisrael wa company wa IT mpaka sa sa sijawajibu...

Wanasema wanataka kunipa mchongo wa pesa😂😂😂
 
𝐎𝐧𝐝𝐨𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐠𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐞𝐭, 𝐧𝐚 𝐧𝐠𝐨𝐧𝐨.
 
LImoja limenitafuta leo mchana
Screenshot_20240422_163150_Messages.jpg
 
Hiyo na Mimi ilinitokea sikuwajibu wakaniona sifai wakanipa block
 
Mapuuz hayo, yana ujinga mwingi sana nikipata time ntakuja kueleza upuuz wao mwingine,
 
Kuna wabongo wataliwa kama wale wa UNICEF
 
Back
Top Bottom