Hichi kitu nilishawahi kukigusia miaka 4 iliyopita Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?
Na nilibahatika kununua ya Petrol , ijapokuwa ya petrol bei yake imechangamka kidogo ila ni gari zuri la kuishi nalo kwa upande wa safari nimeenda nalo Moshi 2 tymes wese ni ni mnuso na spidi ni mwendo wa ngiri
Na utakutana na kipigo kizito kwny CIF.Uwa wananifurahisha kwenye IST. Walikataa kushusha. Sema nn, unavotafuta gari tafuta below 8 years mfano tafuta la kuanzia 2016 utakua na advantage ya $0 ya uchakavu, ingawa nayo ni hit n miss.
Hiyo list imetolewa na mamlaka gani?Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4.
View attachment 2930349
Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka 2024 na 2025 inaweka kua ni mwaka mzuri kwa Mazda kujazana Tanzania.
Huyu Mazda CX-5 mwenyewe ni diesel SkyActive cc 2,200 SUV anaenda kama CIF $5,000 na kuendelea. TRA utacheki mwenyewe kwa kuangalia mwaka.
Hii ni fursa nzuri kwa mafundi wa magari kuanza kujiandaa kupambana na engine ya diesel ya uyu mjamaa, pia waingiza vipuri na wazee wa decorations wachangamkie fursa.
Mazda ata perfom vizuri zaidi akisaidiwa na Mazda Verisa, Mazda 2 (demio), Mazda 3 (Axela) na Mazda 6 (Atenza) na mdogo wake CX5 bwana CX3.
Chukua toka south hapo ni rahisi zaidi maana kuna assembly point ya VWNatarajia mwaka huku kuagiza ka baby walker changu vw citi golf 1.4 chakulia doria kwenye mizunguko yangu
Siku hizi kupata Petrol dah mtandaoni unaangaika. Wengi wanakimbilia Diesel.Hichi kitu nilishawahi kukigusia miaka 4 iliyopita Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?
Na nilibahatika kununua ya Petrol , ijapokuwa ya petrol bei yake imechangamka kidogo ila ni gari zuri la kuishi nalo kwa upande wa safari nimeenda nalo Moshi 2 tymes wese ni ni mnuso na spidi ni mwendo wa ngiri
Inakuaje hizo gari za zamani zinaagizwa kwa wingi wakati bongo tunakatazwa kuingiza gari za miaka zaidi ya 8?
CC 2000Cc ngapi, 2000 au 2500?
Compact mid SUVHio CX-5 nayo ni SUV?
Ndio nafirikia hivyo maana hata bei ni rahisiChukua toka south hapo ni rahisi zaidi maana kuna assembly point ya VW
OkNatarajia mwaka huku kuagiza ka baby walker changu vw citi golf 1.4 chakulia doria kwenye mizunguko yangu
Ni very cheap lakini fully loaded with features imagine unapata diesel option kwa dola 4000Hiyo gari ya Mazda CX-5 ina kitu gani special kiasi cha kupanda chat ya kununuliwa kwa wingi kwa hivi sasa hapa Tanzania?
SanaNdio nafirikia hivyo maana hata bei ni rahisi
Hivi wa Dualis bado wapo? Enzi hizo walikaita ka Sweetheart ka TZ, sasa hivi nakutana na posts za kuungua moto tuTrend 📈 tu imeitembelea. Kama ambavyo Vanguard ilitembelewa, Dualis, etc. Ila ni SUV nzuri kwa kuiangalia.
"Mkumbo"Hiyo gari ya Mazda CX-5 ina kitu gani special kiasi cha kupanda chat ya kununuliwa kwa wingi kwa hivi sasa hapa Tanzania?
Wewe utakuwa unaota na mahaba ya ushamba wa magari ya kijerumani. Mbona hakuna hata gari moja ya mjerumani hapo kwenye top 10?Mwanangu nipo nae kariakoo anauza foresta yake ili avute hiyo mashine. Hii gari hata Mimi nimetokea kuipenda Sana
Ukiona mpaka foresta imeshika namba moja Tanzania ujue Hali imebadilika hasa Kwa wanazi wa Toyota, huwa nashangaa watu wa hapa jamiiforum wakiponda gari za kijerumani lkn ukiingia barabarani zimejaa kibao watu wanasukuma Tu....uwoga ni kitu kibaya sana maishani