HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

Kwa ushauri wako kati ya Subaru foresta na hiyo Mazda Cx-5 ipi the best kwenye mambo yote consumption spea na mengine

Hakuna ambayo ni best kwa mambo yote, na hakuna gari ambayo ni best kwenye mambo yote ukicompare na nyingine. Inategemea vipaumbele vyako.
Kwa consumption, mazda cx5
Efficiency ya engine na gearbox (power na consumption combined) ni cx5
Spare, subaru labda ziko nyingi zaidi
Engine reliability, subaru labda kama utapata cx5 ya petrol
 
Back
Top Bottom