Isanga Family nataka kujua yafuatayo;
1. Je, Mazda wana assembly plant ya magari yao hapo SA?
2. Kama swali No 1 ni kweli, tunajua Toyota kama Hilux, Prado, Fortuner etc zinazotoka SA asilimia kubwa zinakuwa hazina mfumo wa DPF na issue nyingine sumbufu kama hizo, kwamba zimetengenezwa kuakisi mazingira yetu. Je, Mazda CX-5 zinazotoka SA pia hazina DPF kama zinazotoka Japan na Europe ambazo nyingi zipo rated EURO 6 na zinakuwa na strictly environmental compliance kiasi cha kuwa na shida sana pindi zifikapo huku kwetu?
Napenda kusikia toka kwako juu ya issue hii.