Ni kweli ila bei ya hizi gari imekaza sana. Especially ambazo zipo vema. Hapa dawa ni kuchukua South Africa tu hapo unakuja unaendesha mwenyewe kutoka huko. Nyingi za South Africa milage yake ipo chini ya kilometers 10,000 sasa south Africa hadi hapa ni around 3000 kms top. Why isiwe raha.Okay......nitakuja mzee......wacha nikupe hint mzee ukipata kununua gari epuka kutumia madalali mtafute mmliki personally.......mwaka Jana nmenunua ist Kwa 6M.......wakati ukiingia kwenye mitandao ya madalali bei ya ist inakwenda mpaka 13m
South wahuni hawawezi kukuuzia then wakakupora? Au ukapigwa shaba? Naskia usalama ni mdogo sana huko na matapeli kibao?Ni kweli ila bei ya hizi gari imekaza sana. Especially ambazo zipo vema. Hapa dawa ni kuchukua South Africa tu hapo unakuja unaendesha mwenyewe kutoka huko. Nyingi za South Africa milage yake ipo chini ya kilometers 10,000 sasa south Africa hadi hapa ni around 3000 kms top. Why isiwe raha.
Kuna website yoyote ya kufanya purchase gari za SA?Ni kweli ila bei ya hizi gari imekaza sana. Especially ambazo zipo vema. Hapa dawa ni kuchukua South Africa tu hapo unakuja unaendesha mwenyewe kutoka huko. Nyingi za South Africa milage yake ipo chini ya kilometers 10,000 sasa south Africa hadi hapa ni around 3000 kms top. Why isiwe raha.
Utupe mrejesho na siye tukivunja kikoba tujue bei kama ni nafuu tuongee vizuri chiefKodi yake sio kubwa nadhani wiki mbili zijazo itakuja moja ntaona imefika kwa bei gani ya kuanzia 2014 kuja mbele...
Usithubutu utalia kama mbwa kokoKuna website yoyote ya kufanya purchase gari za SA?
No its my car.That's my Car
Kama unakwenda kununua gari za wapiga madili za uchochoroni tegemea kupatwa na misala na mabalaa yasiyo na kichwa wala miguu. Ni kama hapa Tanzania umfuate teja akuuzie simu uchochoroni saa nne za usiku au chini ya daraja pale ubungo songas.South wahuni hawawezi kukuuzia then wakakupora? Au ukapigwa shaba? Naskia usalama ni mdogo sana huko na matapeli kibao?
Zipo, ila sasa kama gari ni ya kununua kutoka south Africa itabidi ufanye arrangements ya kuifikisha hapa Dar through road maana ni cheap na ni haraka ndani ya siku 15 if kila kitu kipo mahala pale gari utakuwa nayo mjini hapa unasumbua wake za watu.Kuna website yoyote ya kufanya purchase gari za SA?
Acha kutisha mwenzako wewe. Alie kama mbwa koko kwa kipi hasa? [emoji848]Usithubutu utalia kama mbwa koko
Isanga Family nataka kujua yafuatayo;Kodi yake sio kubwa nadhani wiki mbili zijazo itakuja moja ntaona imefika kwa bei gani ya kuanzia 2014 kuja mbele...
Mazda za SA hazina huo mfumo wa DPF na sio sumbufu na sio mazda tu gari zao nyingi hata Subaru ya SA ipo tofauti na Japan kwa usumbufu ingawaje parts zinaweza kuingiliana...Isanga Family nataka kujua yafuatayo;
1. Je, Mazda wana assembly plant ya magari yao hapo SA?
2. Kama swali No 1 ni kweli, tunajua Toyota kama Hilux, Prado, Fortuner etc zinazotoka SA asilimia kubwa zinakuwa hazina mfumo wa DPF na issue nyingine sumbufu kama hizo, kwamba zimetengenezwa kuakisi mazingira yetu. Je, Mazda CX-5 zinazotoka SA pia hazina DPF kama zinazotoka Japan na Europe ambazo nyingi zipo rated EURO 6 na zinakuwa na strictly environmental compliance kiasi cha kuwa na shida sana pindi zifikapo huku kwetu?
Napenda kusikia toka kwako juu ya issue hii.
Gari nyingi ukisikia inatoka SA wametengeneza wenyewe wana matoleo tofauti ya Toyota ambayo Tanzania hatuna kabisaa na kwao yanafanya vizuri au majina hayo hayo ila muundo wa gari upo tofauti kidogo..Isanga Family nataka kujua yafuatayo;
1. Je, Mazda wana assembly plant ya magari yao hapo SA?
2. Kama swali No 1 ni kweli, tunajua Toyota kama Hilux, Prado, Fortuner etc zinazotoka SA asilimia kubwa zinakuwa hazina mfumo wa DPF na issue nyingine sumbufu kama hizo, kwamba zimetengenezwa kuakisi mazingira yetu. Je, Mazda CX-5 zinazotoka SA pia hazina DPF kama zinazotoka Japan na Europe ambazo nyingi zipo rated EURO 6 na zinakuwa na strictly environmental compliance kiasi cha kuwa na shida sana pindi zifikapo huku kwetu?
Napenda kusikia toka kwako juu ya issue hii.
Sio Kilometers 2000 mkuu cheki vizuri ila ni Safari isiyochosha maana upande wa Zambia nao wamerekebisha bara bara zao na wao maeneo ya miji ni 65km/h na huko kwingine ni 80km/h na 120km/h Tochi hawajifichi maporini unaona kabisaa ukizidisha unapigwa Tochi na Safari ya kurudu haina usumbufu kabisaa...Ila raha sana. Unakuja unatambaa nayo mwenyewe gari yako unaifurahia utamu wake kabisa. Yaani hadi ukifika nayo bongo tayari unakuwa umeshablend nayo na kuizoea.
Ni kilometers 2000+ tu kutoka huko hadi tanzania ni kama kwenda mwanza na kugeuza.
Zitakua za 2018 au 2020 hizo hapo hapo SA zinauzwa kuanzia Tsh 25m mpaka 30m ambazo hapo hapo SA tu ni biashara maana unaweza kuuza zaidi ya rand 250,000.Naziona zile mpya zaidi kuliko hizi za 2014. Bei yake inasimamaje?
Ni around km 2400+ ni kipande ingawa inategemea umepita boda gani.Sio Kilometers 2000 mkuu cheki vizuri ila ni Safari isiyochosha maana upande wa Zambia nao wamerekebisha bara bara zao na wao maeneo ya miji ni 65km/h na huko kwingine ni 80km/h na 120km/h Tochi hawajifichi maporini unaona kabisaa ukizidisha unapigwa Tochi na Safari ya kurudu haina usumbufu kabisaa...
Bora hizo lakini mzee. Maana.Zitakua za 2018 au 2020 hizo hapo hapo SA zinauzwa kuanzia Tsh 25m mpaka 30m ambazo hapo hapo SA tu ni biashara maana unaweza kuuza zaidi ya rand 250,000.
Nimepita boda zote bado upo chini mkuu..Ni around km 2400+ ni kipande ingawa inategemea umepita boda gani.
Tatizo kuwajua wenye magari wenyewe madalali wanaumiza sana mzeeOkay......nitakuja mzee......wacha nikupe hint mzee ukipata kununua gari epuka kutumia madalali mtafute mmliki personally.......mwaka Jana nmenunua ist Kwa 6M.......wakati ukiingia kwenye mitandao ya madalali bei ya ist inakwenda mpaka 13m