So ni kama 4000 top si ndio?Nimepita boda zote bado upo chini mkuu..
Jhb mpaka Gaborone 365.24Km,
Gaborone mpaka Kazungura 925.3km
Kazungula mpaka Lusaka 540.1km
Lusaka mpaka Nakonde/Tunduma 1018.5km..
Hahaa umenikumbusha juzi kitaani kwetu kulikuwa na ubishi mkubwa kuhusu pikipiki boxer na suzuki carry ipi ina mwendo.Niacheni na Kirukuu changu.
Na za South Africa Speed ni 260kphNilikua naziona tu mnadani nimezifatilia hizo CX 5 mazda na CX 3 zipo poa ila zina body ndogo kuanzia wiki ijayo itabidi nizifatilie vizuri sana nizilete naona Kaburu anazo za kumwaga tu harafu za 2014 kuendelea zipo poa sana...
Asante sana kwa feedback nzuri, ngoja tusubiri hio Mazda CX-5 ulioagiza toka SA ili utupe breakdown ya cost zote including kodi ya TRA. Maana kwa vyovyote Mazda za kutoka huko zitakuwa poa sana and reliableMazda za SA hazina huo mfumo wa DPF na sio sumbufu na sio mazda tu gari zao nyingi hata Subaru ya SA ipo tofauti na Japan kwa usumbufu ingawaje parts zinaweza kuingiliana...
Pia hizo Mazda CX -5 hata SA zilikua kwenye demand kubwa sana miaka miwili iliyopita na CX -3 na kabla ya hiyo ilikuwepo Hyundai Tucsson...
Mimi SA naangalia mwaka tu na mileage ili nipate gari ambayo haijatumika sana na niweze kulipa kodi Tanzania kama haina uchakavu wa muda mrefu wao gari za 2004,2005,2006 na miaka ya nyuma zaidi nyingi zikipata ajali hata kama sio mbaya sana wanaziweka kwenye code 3 kwa maana ukiinunua ukairekebisha hutakiwi kuuza ila code 2 ndio unaweza kununua na kuuza wakati Tanzania mtu anaagiza gari imempita Umri au yupo nayo sawa hiyo lazima isumbue sasa gari ya mwaka 2000 labda uagize tractor ndio itakua sawa sio SUV...
Mazda za SA kodi yake ni Tsh 10m mpaka 17m kwa matoleo ya 2020 nadhani na pia madza ipo kwenye kundi la Nissan na Ford kodi zake ni rafiki kama utapata gari ambayo haina uchakavu ni tofauti na Toyota upate ya mwaka huo huo kodi naona zimetofautiana karibu mara mbili au tatu zaidi ukiweza nunua gari bei kubwa harafu liwe na uchakavu kidogo au lisiwe na uchakavu kabisa la kuanzia 2017 kuendelea ili upate punguzo la kodi kwenye haya magari niliyoyataja mfano Ford ranger DC ya 2013 kodi ya ni kubwa kuliko Ford Ranger DC ya 2917 kila kitu kiwe sawa...Asante sana kwa feedback nzuri, ngoja tusubiri hio Mazda CX-5 ulioagiza toka SA ili utupe breakdown ya cost zote including kodi ya TRA. Maana kwa vyovyote Mazda za kutoka huko zitakuwa poa sana and reliable
𝙼𝚢 𝚏𝚊𝚟𝚘𝚛𝚒𝚝𝚎 𝚖𝚒𝚍 𝚜𝚞𝚟
Kila zama na kitabu chakeKuna kipindi JF ukisema nataka kununua gari kila mtu anakuambia Carina Ti
Lete mrejesho; leo June 8Kodi yake sio kubwa nadhani wiki mbili zijazo itakuja moja ntaona imefika kwa bei gani ya kuanzia 2014 kuja mbele...
Nimepata Ford ranger ya 2017 kodi nimelipa 17 na Fortuner ya 2018, GD 6 kodi imelipwa Tsh 33m..nafata Subaru,Ranger na Discover 4 hizi ukitaka mrejesho ni tarehe 30 June,2024 tukijaaliwa ntakua tena Tanzania...Lete mrejesho; leo June 8
Hiyo ilikuwa kipindi kile namba za usajili zinakaa miaka 6 hazijabdalika, hiki kipindi cha kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake kila kukicha namba Mpya, za Serikali zenyewe zimefika STN na bado uchaguzi huu hapa jirani, maokoto yatakuwa nje nje!Kuna kipindi JF ukisema nataka kununua gari kila mtu anakuambia Carina Ti
Nikinyaka kibunda safari hii nalala na hii au Volvo xc 60 ya mwaka huo
Nadhani, kwa kusikia na kusoma, Shida ya hizi gari ni cooling system (coolant bypass na mara nyingine, radiator cap). Sambamba na hilo issue ya DPF ambayo nayo hufikia hadi kuharibu cylinder head na turbo. Inataka service kwa wakati na mafuta masafi kama ilivyo modern diesels nyingi. Vingine kabda itakuwa ni matatizo ya kawaida.Hizi gari zina shida gsni?
Mengi ya haya magari yakiingizwa nchini wamiliki wanayapeleka gereji na ukipata kwenye highway unaweza kukutana nazo baadhi wamepaki pembeni wamefungua boneti.
light SUV mkuu. Sina uhakika kama off-road yupo vizuri kumzidi forester. CX-5 mayai mnoHio CX-5 nayo ni SUV?