Ushajibiwa ili nami nisome hilo jibu?! Manake nakumbuka hata wakati anaingia pale Simba, hawakumwamini kwa kumuona mdogo!Tuambie nani alimsapoti
Samatta haishi kwenye an isolated island bali anaishi ndani ya jamii! Mnashangaza sana kuona kum-post Monallisa ni big issue! In fact, hata kama angem-post mdangaji mkubwa kuliko wote duniani bado hiyo haiwezi kuwa na maana yoyote!Ww ndio Sammata mwenyewe jichunge mzee baba! tunataka tukuone unakuwa on top of the top kwenye top league....ligi ya Belgium ni njia tu....
Mchezo upi?! Umesoma lakini thread yenyewe?Kama ni kweli samata acha huo mchezo halafu nasikia anataka kwenda kucheza ligi yenye laana duniani isiyokuwa na mkubwa Wala mdogo tafadhali sana samata kama unataka kuiga siyo kihivyo kaka hatareee etii unataka ENGLAND
wee jamaa utakuwa unapenda sana ushilawadu.Kama ni kweli samata acha huo mchezo halafu nasikia anataka kwenda kucheza ligi yenye laana duniani isiyokuwa na mkubwa Wala mdogo tafadhali sana samata kama unataka kuiga siyo kihivyo kaka hatareee etii unataka ENGLAND
Sijapost hiyo kitu bro...nimetoa maoni tu kujichunga....hata ww naweza nikakupa maoni jichunge dhidi ya wadada...kuikwepa zinaa....just thatSamatta haishi kwenye an isolated island bali anaishi ndani ya jamii! Mnashangaza sana kuona kum-post Monallisa ni big issue! In fact, hata kama angem-post mdangaji mkubwa kuliko wote duniani bado hiyo haiwezi kuwa na maana yoyote!
Unahisi yeye ni mpumbavu sana hajui kujiongoz? Unahisi una wafahamu zaid yey anavyo wafahamu.shida ni record mbaya za wadadabwa bongomuvi. hata huyo monalisa naye ninwale wale tu wadagangaji.
angalizo: mimi sio mtu wa habari za udaku, ila leo najaribu kuanzisha thread kwa kutumia approach ya kiudaku.
twende kwenye mada kuu.
nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hapa jf, watu mbalimbali walimfsia sana mbwana samatta kwa kujiweka mbali na wadada "wadangaji wa mujini" hususani wa kutokea tasnia ya bongo movie.
inasemekana kila mbwana samatta anaporudi likizo toka ughaibuni anakocheza soka, wadada maarufu wa mujini huwa wanatumia kila mbinu ili wapate nafasi ya kuwa karibu naye.
licha jitihada hizo, wengi huwa hawampati maana mbwana samatta sio mtu wa kuzurula usiku kwenye kumbi mbalimbali za starehe na akitua tu bongo huwa anajificha kule kwao mbagara mpaka likizo yake iishe.
yaani ni agharabu sana kumuona akishinda mitaa ya kinondoni wanakopatikana wadada wengi wadangaji wa mujini na wakaka "midananda"(wapambe).
ila safari hii naona kama samatta kaenda kinyume na msimamo wake. kwa mara ya kwanza amempost mdada wa bongo movie monalisa.
hii ndio sawa na kusema, wadada wa bongomuvi hawakwepeki kwa vijana wenye pesa. ila shida yao ni moja, ukishaanza kujihusisha nao kimapenzi, mafanikio yako kiuchumi yanaweza kutoweka. ni kama wana gundu hivi.
View attachment 1116733
[emoji3] some times kuongea ukweli ni jambo poa sana.Ana kiburi ehh juzi alisema hakuwai pata support ya mtu yeyote ni kipaji chake tu
Ligi ya Belgium kama ni njia na wewe Kapite.Ww ndio Sammata mwenyewe jichunge mzee baba! tunataka tukuone unakuwa on top of the top kwenye top league....ligi ya Belgium ni njia tu....
Mm uwezo wangu ni kupita njia yako yenye mafiga mawili nyuma..... shubaamit!Ligi ya Belgium kama ni njia na wewe Kapite.