Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Japo kapicha basiMchezaji wa mpira ambaye pia ni mdhamini wa timu ya Coastal Union Ali Kiba hatimaye aanza kujirekebisha baadhi ya mapungufu yake.
Mwanzoni huyu jamaa alikuwa hapost kabisa suala la msiba wa msanii yeyote yule, kwa kifupi alikuwa anajisikia sana mpaka kwenye masuala ya msiba huwa anajiweka nyuma nyuma sana kushirikiana na wenzake kuhusu misiba mbalimbali.
Ila kwa mara ya kwanza jamaa ameamua kubadilika baada ya kupost R.I.P PANCHO jambo ambalo limeibua sintofahamu kubwa sana.
Wanaomchukia wengi akina hance hawana hata ist huku yy anaendesha x5, sijui wanafaidika nnAlikiba anapata tabuu sana.. maana watu wanavyomchukia...
kwa swala la umbea kwa huyu jamaa ,mi kusema kweli sijawahi muweka jinsia ya me namwona kama KE hvSiku hizi umbea haubagui jinsia...