Hatimaye mchezaji wa Coastal Union Ali Kiba ajirekebisha

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mchezaji wa mpira ambaye pia ni mdhamini wa timu ya Coastal Union Ali Kiba hatimaye aanza kujirekebisha baadhi ya mapungufu yake.

Mwanzoni huyu jamaa alikuwa hapost kabisa suala la msiba wa msanii yeyote yule, kwa kifupi alikuwa anajisikia sana mpaka kwenye masuala ya msiba huwa anajiweka nyuma nyuma sana kushirikiana na wenzake kuhusu misiba mbalimbali.

Ila kwa mara ya kwanza jamaa ameamua kubadilika baada ya kupost R.I.P PANCHO jambo ambalo limeibua sintofahamu kubwa sana.
 
Japo kapicha basi
 
Ndo umemaliza au usingizi ulikupitia?[emoji15]
 
Back
Top Bottom