Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

dogo una habari hiyo gari imekuzidi umri? anyway timiza ndoto yako
 
Chombo Nimeielewa Manual
Gear Tele Mpaka Raha, Ukiingia Barabarani Unamwaga Maji Golini Tu. Hongera Sana, Usisahau Kuifanyia Ibada Ndogo
manual n nzuri ila sku ukitaka kuiuza uatahangaika sana kupata mteja
 
Manual ni gari ya bei juu kuliko automatic mzee. Na hio 14M ni before Tax. Ikitua anaongezea hela.

Ukistaajabu unaweza shangaa ya automatic kwa mwaka huo huo inauzwa 7M before tax.
kwa nn manual ina bei kuliko auto?
 
Kwa machizi boti lazma wataazima chombo tu hasa wale wazee wa 3 pedals. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Kwamie binafsi ntaangalia tu chombo ya fundi maana sina ujanja wa kukoroga stiki. Nmeshazoea kuendeshea herufi pendwa (D) sio kuendesha kwa namba.
Jifunze. Real men drive three pedals
 
Gar Ni nzur mdh angu lkn kwa Bei hyo umeliwa vibya Sanaa stamina mwakani kuuza milioni 7 hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…