Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Huo mpangilio wa gear, sio wa gari ndogo.gear box ya scania kivipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mpangilio wa gear, sio wa gari ndogo.gear box ya scania kivipi mkuu?
Mkuu hizo Gt-r mjapani alitengeza gari. Hiyo mpaka wazungu wanaitolea macho hata kama ya mwaka 1990 ikipita mtaani raia lazima waulize gari ipi imepita.View attachment 1626692
View attachment 1626693
Old is gold.. carina huenda kawakata wengi akina brevis kwa bei 😀😀. Carina roho ya paka.. hapa anaweza tumia baba paka wajukuu.. nazielewa sana hizo gari..
ushawahi miliki gari before?sijanunua gari kwa malengo ya kuja kuiuza baadae..nimenunua kwa kurahisisha kazi zangu za kila siku
sawa sawa. mana mm nshawahi kuwa na gari manual nlikua nikifika tambarare nakanyaga mafutaaaa afu natia neutral then miguu yote inapumzikaManual gharama ya kulitunza iko chini mno compared na automatic motor. Pia inahimili mazingira magumu ya uendeshaji.
Hapana mkuu, mimi kumiliki gari bado saaaaanaNilivyosikia "mdogo wenu", nikajua ni Infantry Soldier.
kiukweli hata mm nimeshangaa yan 6 gearsMkuu, hii Carina yako isijekuwa umefungiwa gearbox ya Scania.. Maana siisomi kabisa!
we mwanamke unapenda ngono kuliko ngono yenyewe inavojipenda[emoji3]Duuh, umenipa amsha amsha..... baada ya kuona picha ya kirungu cha gia ki-antena changu kimetetemeka hadi joto la mwili likapanda ghafla....
Hapana mkuu, mimi kumiliki gari bado saaaaana
Ameogopa kuazimwa akaenda kuagiza huku akipigwa14 milioni Kwa Carina ya 1999?
Why??
Gar Ni nzur mdh angu lkn kwa Bei hyo umeliwa vibya Sanaa stamina mwakani kuuza milioni 7 hv
mzee, ukitaka uichukie tthree pedals basi kutana na foleni mliman afu nyuma yako kuna gari imekusogelea ziro distance asee ile kasheshe sio kabisaJifunze. Real men drive three pedals
Amen. Hakika Mungu ni mwemaTuombe Mungu. Kuna siku unamiliki mchuma wa nguvu.
Wapi nilipopigwa ? Hiyo hapo utasemaje??Ameogopa kuazimwa akaenda kuagiza huku akipigwa
Hao ndugu na marafiki watakuja kukuazima ili wakajifunzie kuendesha manual. Wanaweza wasikwambie lakini utajua baadaye watakaporejesha ndinga ikiwa imeharibika kimtindo.Niliuliza automatic bei zinacheza mil 5 mpka mil 8..
Za manual zinacheza 12ml mpka 35mil.nimeamua nichukue manual ili watu wasiniazime Sana maana Nina ndugu na rafiki hawawezi kusukuma manual
Jamaa we noma;yaani Carina tu umekuja jf...khaaa!Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan
View attachment 1626450View attachment 1626451
Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo .
Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilivyosikia "mdogo wenu", nikajua ni Infantry Soldier.