Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

Niliuliza automatic bei zinacheza mil 5 mpka mil 8..
Za manual zinacheza 12ml mpka 35mil.nimeamua nichukue manual ili watu wasiniazime Sana maana Nina ndugu na rafiki hawawezi kusukuma manual
Hao ndugu na marafiki watakuja kukuazima ili wakajifunzie kuendesha manual. Wanaweza wasikwambie lakini utajua baadaye watakaporejesha ndinga ikiwa imeharibika kimtindo.
Mbongo sio mtu kabisa.

Hivi unawezaje kumuazima mtu gari yako binafsi?
Maana gari binafsi ni private person property, ni kama simu, nguo, viatu nk. Utamuazimaje mtu vitu hivyo ili akavitumie tu?
Mimi najua kuwa, mtu mwenye tabia ya kuazimisha vitu vyake yeye pia huwa na tabia ya kuazima vya wengine pia. Hivyo nipe nikupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…