Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

Muandae makoo yenu kuitikia shikamoo za wagombea wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka huu.Na baada ya kuwachagua wanaanza kunyanyasa watu na kutaka kuitwa waheshimiwa.Kazi kwako mkuu.
 
Hii dressing code ya meya imenifurahisha. Unaweza kuvaa hivi kwenye ofisi ya serikali?
 
mbona hata usajili namba ya gari hilo kwenye system ya TRA haitoi taarifa za gari hilo la slaa au ndio mambo ya uchaguzi hayo tajiri na tajiri mwenzake masikini na masikini mwenzake teh yeh
 
Ngoja kwanza hili gari kanunua mkono mwa mtu au showroom?
Coz reg no ni csx na sasa hivi tupo DD......
 
This guy must be a real smart-ass. Hii ndiyo gari ya maana mjini siku hizi. Toyota IST is the real deal.
 
Hana lolote anataka ubunge wa ukonga kwa njia hiyo anaongoza kwa kupokea rushwa kutoka kwa wamiliki wa hsc
 
Unafiki ni mbaya sana na kama hii inapima uzalendo wake basi ndo mana wananchi tunababaika na kuwapa kura
 
Ofisi ya meya tu wakati anaingia ilirekebishwa sijui ilikuwa milioni 80 ile kama sijakosea, sijui meya wa ilala aliepita ofisi yake ilikuwa haifai kukaa meya kijana
 
Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...

Labda third user
 
Back
Top Bottom