Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Hii ilikua danganya toto Kweli Mwanza hawawezi organise this hata IST 11Mill iliwashida


\
 
Hahaha, tuna miaka mingine 300 ili tuwe serious na kua na vision kuhusu taifa letu tulitakalo
watu wanafikiria anticlockwise
 
Saivi Tunapata wadhamini kwanza tutaendelea mbele
 
Ha ha linavo sifiwa sa heti gari zuri halitumii mafuta mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna vitu ni bora ukajihesabu huna halafu ukaweka bidii kuvitafuta, hivi unaweza kuwaambia wenzio una gari halafu ukawaonesha hili?!
SASA HIYO NI GARI AU NI BANGO LINALOTEMBEA?
Mbaya zaidi gari limejaa matangazo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wangekaosha basi jamani ata matairi tu yani aka atakua anashinda garage kila cku
 
Reactions: 314
huyu dada amepata misuko suko sana tangu aseme kaibiwa documentary mpaka kulilia gari ndio kaishia kwa Swift

Maskini dada Diana,Pole sana chukua hilo uuze uongezee ununue hata IST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…