Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Watanzania tumekuwa matapeli kwa kweli uyu binti alipewa ahadi ya New IST sasa gari sijui nani kauchomoa kwake kuficha aibu ya ahadi .kwa kweli ulosema ni wakati wa zoa zoa sasa Edward umekuwa zoa zoa .uwiiiiiiii tuwe na heshima kidogo binti kajitoa sana mmmmmm hashimu hapo kachemka
 
Icho ki baby walker cha zoa zoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankali lundenga mungu anakuona
 
Duhh haya matusi sasa bora wasingempa kabisa!
 
Utakuta km zishafika ata Laki
Gari Hip hop hiloo tena used
 
Hii zawadi hawajaiokota pale mapipa kwa madalali kweli? Plate namba inasomaje wakuu?
Gurudumu zenyewe zimechakaa ni kwa nini wanampa ugonjwa wa moyo dada wa watu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kha ilo gari sio La kuwaringishia mashost kwamba ni la ushindi

Hata bure sitaki
Yaani mashost wenyewe wakikuona na hicho kitolori ni wanakula kona[emoji23] [emoji23]

Asee hapana na Diana nae kazidi njaa khaaa!
 
Yaani mashost wenyewe wakikuona na hicho kitolori ni wanakula kona[emoji23] [emoji23]

Asee hapana na Diana nae kazidi njaa khaaa!
Sio njaa bana, angekataa pia wangemsema, "alipewa gari akakataa"
wabongo si unawajua vizuri lakini.
 
jamani!!! si wangempa hata IST tu? yaani icho kimeo hakina hadhi yake kabisa....ptuuu,,,ngoja nione kama Hoyce Temu atapost hii zawad btw nimeipenda hashtag ya kikuda ya Clouds hahaa
hashtag ya kikuda
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna mwaka miss alipewa Nissan Hardbody sijui ilikuwa 2004,Ile ndio ilikuwa hadhi ya miss Tanzania.
Au Nancy alivyopewa nyumba tabata changombe ila huku tunakoelekea Miss atakuja kupewa bodaboda
 
Mimi nahic wanamfanyia hivyo coz huyo mdada (miss tz 2016) siyo mrembo, ila hata kama jmn that's not fair huko ni kuharibiana image..
 
Back
Top Bottom