Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli acha ajichukulie mwaya..Sio njaa bana, angekataa pia wangemsema, "alipewa gari akakataa"
wabongo si unawajua vizuri lakini.
hali ngumu wewe chezea maguuu wadhamini wanangalia hela ya ugali asaivi 😀Kama zawadi ndio ya namna hiyo....basi hata nami ninaweza kumbe andaa shindano hilo......pamoja na kuwa nawazamini kibao bado wametoa kigari cha mfano wa gari.....hovyo kabisa.....mara mia hata bongo star search ya madam....
Swift hiyo na ni used,Swift au SUZUKI MARUTTI
Kunako 2005, Sylvia Bahame alipewa Nissan Patrol Double cabin, Richa Adhia yule Mhindi nae alipewa kama hilo la Bahame, iweje huyu apewe Baby walker?Hadhi ya Miss Tanzania ni gari la aina gani?
Kwa hiyo atakuwa analiendesha na ayo matangazo
Mkuu umenichekesha hadi machozi.khaa!Hii haiwezi kuwa gari hata siku moja. Kutakuwa kuna jina lake ambalo mimi silijui.
Classic Shame.
Atakuwa anasimamishwa na watoto wakidhani anauza biscuit au chama na juice.Zawadi zingine bana... ila yote tisa, shida ni hayo matangazo.. yani mpaka kero! sidhani kama atalitumia hilo gari mtoto mzuri namna hiyo..