Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Aiseeeee Haina tofauti na gari ya sales Team.
Kitendo cha kupokea hiyo gari inaonyesha naye Miss TZ hajielewi.
 
Not fair at all,tusitegemee warembo wenye kukubalika kimataifa na wenye kujielewa kujiingiza kwenye haya mashindano kwa kutegemea kuja kupewa Suzuki Swift,huu ni udhalilishaji wa watoto wetu kike.
 
Kama zawadi ndio ya namna hiyo....basi hata nami ninaweza kumbe andaa shindano hilo......pamoja na kuwa nawazamini kibao bado wametoa kigari cha mfano wa gari.....hovyo kabisa.....mara mia hata bongo star search ya madam....
 
hali ngumu wewe chezea maguuu wadhamini wanangalia hela ya ugali asaivi 😀
 
Ma-miss bhaaana!!!! Mbwembwe zao zote mikoa yote Tz, wanagombania Hako Ka-kimeo?
Au kuna zawadi zingine zinazotolewa zaidi ya hapo?
Shikamoo Miss Tz.
 
Hadhi ya Miss Tanzania ni gari la aina gani?
Kunako 2005, Sylvia Bahame alipewa Nissan Patrol Double cabin, Richa Adhia yule Mhindi nae alipewa kama hilo la Bahame, iweje huyu apewe Baby walker?
 
Zawadi zingine bana... ila yote tisa, shida ni hayo matangazo.. yani mpaka kero! sidhani kama atalitumia hilo gari mtoto mzuri namna hiyo..
 
Yaani...... lol! Ningekuwa mimi nisingelipokea, ushwain gani huu
 
Wameshindwa kukadalalia wahisani wasikuizi wanataka churaaa hakuna namna iyo inamtosha
 
Unafiki wa watanzania Wa kiwango cha lami... Hayo mashindano mlishayasusia.

Shukuruni hata hiyo gari imepatikana.
 
Zawadi zingine bana... ila yote tisa, shida ni hayo matangazo.. yani mpaka kero! sidhani kama atalitumia hilo gari mtoto mzuri namna hiyo..
Atakuwa anasimamishwa na watoto wakidhani anauza biscuit au chama na juice.
 
Inaonekana hao waandaji wamefulia sana.kutoka kukabidhi NISSAN NAVARA mpya kabisa kwa Sylvia Bahame,mpaka kwenye hicho kitoroli,tena kimechangiwa hela ya matangazo wameenda kulipia hiyo taka taka,inaonekana hata deni hawajamaliza
 
Back
Top Bottom