Haaaaa sasa hii IST imeenda wapi maana ishasajiliwa kama zawadi yake...Hii ilikua danganya toto Kweli Mwanza hawawezi organise this hata IST 11Mill iliwashida
View attachment 507820
\View attachment 507821
Alipewa apigie picha tu mkuu, acha uchocheziHaaaaa sasa hii IST imeenda wapi maana ishasajiliwa kama zawadi yake...
Yaani mashost wenyewe wakikuona na hicho kitolori ni wanakula kona[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kha ilo gari sio La kuwaringishia mashost kwamba ni la ushindi
Hata bure sitaki
Haaa haaajamani mwishowe haya mashindano zawadi zitakuwa bodaboda.
Sio njaa bana, angekataa pia wangemsema, "alipewa gari akakataa"Yaani mashost wenyewe wakikuona na hicho kitolori ni wanakula kona[emoji23] [emoji23]
Asee hapana na Diana nae kazidi njaa khaaa!
hashtag ya kikudajamani!!! si wangempa hata IST tu? yaani icho kimeo hakina hadhi yake kabisa....ptuuu,,,ngoja nione kama Hoyce Temu atapost hii zawad btw nimeipenda hashtag ya kikuda ya Clouds hahaa
Kwahyo ile pleti namba wamerudisha kiwandani... si eti eeee????Alipewa apigie picha tu mkuu, acha uchochezi
Hahaahahhahahaha weweeee!!!!Naona pale kwenye side mirror kuna nafasi kidogo imebaki waongezee tangazo la Mo Fanta...