Hatimaye Mkoa wa Kigoma Wapata Umeme wa Gridi ya Taifa

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Bila shaka Kazi inaendelea..

Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati.

Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa.

Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia kujenga kiwanda cha saduji mkoani huko kwa zaidi ya Bil.500 lakini mradi haukuwa fast tracked kwa sababu za kutokuwa na uhakika wa Umeme.

Waziri Makamba anaendelea kuwaumbua Chadomo πŸ‘‡

 
Hongera sana awamu ya 6 πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-123307.png
    119.1 KB · Views: 10
Hongereni kigoma na hongera kwa Waziri Makamba

Wakazi wa Kigoma sasa acheni ubahili nendeni Tanesco muunge umeme nyumba zenu

Msianze ohhh Sisi tulizoea magenereta hatukubali!! Kuunga umeme Tanesco
Dunia hii wabishi hadi kwenye maendeleo ni makabila mawili waha na wenzao wakiongea harufi mbili mbele ya Waha wanaoitwa Wahaya yaani ni Waha walioongeza "ya "mbele ya jina "waha" kuwa wahaya kuwa wao kiboko zaidi ubishi kuliko.waha.Lakini waha na wahaya ni walewale tu kwa ubishi sema wahaya funga kazi sababu walioongeza neno ya mbeleni ya jina waha
 

Watani zake [mention]GENTAMYCINE [/mention] wamepata umeme waache kuwanga hovyo sasa
 
Kwani wakati wanatumia majenereta hawakuwa wanatumia mita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…