Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana....

Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime political officials, an Iranian source close to the establishment told Reuters on Saturday.

Iran's Security Council instructed residents of Tehran, as well as other major cities, to stay in safe, protected locations until further notice, Walla reported.

Security forces blocked roads in the Tehran area that is home to the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, President Masoud Pezeshkian, and parliament, witnesses said.
 
Ayatollah kama kwenye Ambush ya kwanza wamemkosa sio rahisi kwa SASA hivi kumdondosha.

Vinginevyo iwe vita ya moja kwa moja

Kwenye vita vya kwanza hawakua na nia ya kumuua, hususan iliogopwa akiuawa Wairan wanaweza kujitolea kwa mamilioni na kuanza kuelekea Israel, ila baada ya maandamano ya juzi yalionyesha hao Iran hawamtaki, ndio imebidi apigwe raundi hii, handaki alikojificha limepigwa bomu la kiwaki waki.
 
Japo mimi wa iran sina uhusiano nao na hawako kwenye orodha ya marafiki kwangu,lakini hivi kila kinachotangazwa unadhani kweli?
 
Akifa si anateuliwa mwingine au issue ni nini?

Raundi hii mnapigika kote, raia wa Iran wenyewe wameichoka hiyo dini, mliawaua sana kipindi waliandamana, hivyo hawapo upande wenu. Handaki alikojificha Ayatola limepigwa kombora kali

 
Huyo dikteta Ayatollah inaonekana amekimbilia Moscow kuokoa roho yake, yeye analeta itikadi ya kijinga na kuitumbukiza nchi yake kwenye shida kwa tamaa ya madaraka. Bure kabisa.
 
Mkuu wa IRGC saa saba ametoka kuripoti kuwa YUKO HAI NA MZIMA.
 

Kwamba ameuawa?
Itakuwa kichekesho sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…