Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

Unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Wairan hata wangemchoka Khamenei hawaipendi Israel na USA. so hata angepinduliwa bado ambaye angefuata atakua tu anti-israel kama tu Afghanistan au Syria!!

Mtu mwenye akili anajua kabisa power struggle inayofuata baada ya kumng'oa khamenei Itakua hatari bila shaka hata ISIS itaingia Iran na kuzalisha vita ya miaka mingi kama Syria something that will jeopardise middle Eastern security for many years to come.
 
Na yeye anauawa.
Yeah wana population ya watu million 80!! Wartime army inafika 6 million.... so vita ikihamia ardhi yao sioni vipi Israel au US itashinda. Itakua phyric victory kama ya Iraq au Syria yaani hata wakipora nchi wanaikuta majivu na iliyojaa magaidi na waasi kutoka angle zote za middle east!!
 
kinachowapa shida wakristo wa TZ,Venezuela,North Korea,Russia,China,South Africa , baadhi hazina dini zingine zina wakrsisto wengi zipo pamoja na Iran,halafu kuna wao wazee wa mungu wa Israel Kila kinachofanywa na nchi yenye waislam wengi wanakiponda😁🙃😅🤣,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…