Hatimaye Mods nao kuanza kutekeleza kauli ya Pinda

napendekeza lianzishwe jukwaa la members waliopewa ban ili tuwe tunaenda japo kuwasalimia wakiwa kifungoni na kuwapelekea mahitaj mbalimbali
 

Mpendwa na swahiba wangu FaizaFoxy.... mi nlikumisi mbaya!!

Nimefurahi sana kurudi kwako (ila usinchekeshe)

Ombi moja: Waeza nitajia jina la hiko kiMod kilichokupiga ban nikibadilishe jinsia?? Mi kuna vimod huwa vinaniuzigi sana. Imajin, kuna wakati niliquote post ya mtu ambayo ilikuwa na picha..... nikapigwa ban, lakini aliyepost ile picha akaendelea kula bata. Mpaka leo nakubaliana na Mshua Ma------i, kuwa si wabunge tu bali kuna hata Mods wanaofikiria kwa kutumia vikalia kiti.

Baada ya kusema hayo..... napenda kukuthibitishia kuwa homy wangu Kaizer kishafunga ndoa na shem wangu wa ukweli AshaDii kwahiyo mie swahiba wako nna uhakika wa futari lenye baraka za Mola.

Wanchekesha!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu EMT, utashtakiwa kwa kuweka nukuu yangu hadharani..... Copy right is reserved LOL
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

Mkuu EMT, utashtakiwa kwa kuweka nukuu yangu hadharani..... Copy right is reserved LOL
 
Last edited by a moderator:
Mkuu EMT, utashtakiwa kwa kuweka nukuu yangu hadharani..... Copy right is reserved LOL

Lakini nimeparafrezi na kuakinoleji kuwa ni ODM ndiye aliyasema hayo.
 

What a welcome from you Asprin.

Wasameh hao moderators, huu ni mwezi wa kusameheana, kuomba toba, na kujitakasa kwa kila tuwezavyo na kuwa wa karimu ziada.

Am so glad to see you in high spirits as usual.

Ramadhan Kareem
 
What a welcome from you Asprin.

Wasameh hao moderators, huu ni mwezi wa kusameheana, kuomba toba, na kujitakasa kwa kila tuwezavyo na kuwa wa karimu ziada.

Am so glad to see you in high spirits as usual.

Ramadhan Kareem

Wakikupiga tena ban unibeep nikufuate gerezani.:ban:


Ramadan Kareem
 
Jamani nyie watu wabaya sana. Yaani FaizaFoxy amerudi halafu hamjanitumia PM ya kunitaarifu aua ngalau kunitag. Tangu lini jamani tumeanza kuacha kupeana taarifa muhimu kama hizi.
Karibu sana Faiza, we missed you tonnes...
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy karibu tena, nilikuwa nime miss pumba nyingi na point kidogo... nilikuwa mara nyingi naishiwa na pumba za kuwapa ng'ombe lakini binamu yako zomba aliweza kukuwakilisha vyema...

sasa sitakuwa na upungufu tena wa pumba...
 
Last edited by a moderator:
ni vyema wafanye hivyo kuwapa ban wale ambao wanawasumbua wenzao hasa kwenye pm kule kumezidi, na cc ndo zaidi kabisa my twin
 
my twin EMT naomba hiyo sign yako kwani home nilikuomba ukakataaa ukwamwambia mama sasa huku mama hayuko naomba nami niwe nayo
 
Last edited by a moderator:
wewe nawe una hamu ya kupigwa ban ngoja wenyewe waje wasome hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…