Hatimaye Mods nao kuanza kutekeleza kauli ya Pinda

Hatimaye Mods nao kuanza kutekeleza kauli ya Pinda

Thanks a lot, tuko pamoja.

Kumbe FaizaFoxy ulikuwa unatumikia kifungo cha maisha? Pole na karibu tena uswazi. Mimi nilidhani yamekukuta tu ya dunia. Pengine ukipata muda utatushirikisha sababu za kupewa ban na pia utushirikishe uzoefu wako huko gerezani "segerea" ulikokuwa.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha hahaa, Ahsante na InshaAllah nikipata muda ntawapa visa na mikasa ya huko.
 
Nasikitika kuwa sikuwepo siku unaingia hapa ili ukaribishwe jinsi inavyostahili - Yaani kwa kelele, Fujo, Umani, Vinanda na vyote vitakiwavyo kuwapo na sherehe kuubwa Super Star anapoingia mahala (I kid). Ila nafurahi uwepo wa EMT ambae kakukaribisha ki gentleman zaid (as the man himself is 🙂 ).

FaizaFoxy, JF number 1 Celebrity (Sosi: FF)... You have been missed, Karibu tena and I hope I will get more from you than you always have to offer.

Ramadhani Kareem.

Pamoja Saana,

AshaDii.
 
OOhh AshaDii, thanks a lot, I missed you big time twin.
 
OOhh AshaDii, thanks a lot, I missed you big time twin.
Karibu tena JF Number 1 Celebrity......

Nami natamani kama ningekuwepo siku unatoka kifungoni nikakupokea kwa mapokezi unayostahili(shangwe na nderemo na mbinja kwa sana).....

Karibu sana na hakika Jukwaa litachangamka na michango yako mitamu....

Ramadhan Kareem mpendwa wangu FaizaFoxy

Bala.
 
Wawooooooooooooooooo, Balantanda, don't make me cry. Missed you a lot.

Thanks and Ramadhan Kareem
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama kumbe selebriti namna hii pande hizi. Hivi FaizaFoxy hiyo avatariii ni wewe?
 
Last edited by a moderator:
jahahahahah nimecheka sana na hii habari ya bwa emt,kweli jf kiboko
 
EMT najuwa ulinitetea sana nilipokuwa banned. Ahsante kwa hilo, napenda kuwaombea wafungwa wenzangu wote waachiwe huru kama nilivyoachiwa mimi. Ikiwa hata wahaini wa kweli wanaachiwa magerezani na Serikali kwa misaha mbali mbali nadhani itakuwa ni busara kubwa Rais wa JF akisita kundelea kuwanyanyasa wale wanaoifanya JF iwe JF na kuwapa msamaha na kuwawachia huru kama nilivyoachiwa mimi. Nawatakia wote Ramadhan njema.

kama noma na iwe noma sikubali narevenge mie kama noooma

welkam back hivi huko sero kukoje mtusimulie ili na sisi tusiwe wakaidi..
 
Back
Top Bottom