Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Thanks a lot, tuko pamoja.
Kumbe FaizaFoxy ulikuwa unatumikia kifungo cha maisha? Pole na karibu tena uswazi. Mimi nilidhani yamekukuta tu ya dunia. Pengine ukipata muda utatushirikisha sababu za kupewa ban na pia utushirikishe uzoefu wako huko gerezani "segerea" ulikokuwa.
Nasikitika kuwa sikuwepo siku unaingia hapa ili ukaribishwe jinsi inavyostahili - Yaani kwa kelele, Fujo, Umani, Vinanda na vyote vitakiwavyo kuwapo na sherehe kuubwa Super Star anapoingia mahala (I kid). Ila nafurahi uwepo wa EMT ambae kakukaribisha ki gentleman zaid (as the man himself is 🙂 ).
FaizaFoxy, JF number 1 Celebrity (Sosi: FF)... You have been missed, Karibu tena and I hope I will get more from you than you always have to offer.
Ramadhani Kareem.
Pamoja Saana,
AshaDii.
Karibu tena JF Number 1 Celebrity......OOhh AshaDii, thanks a lot, I missed you big time twin.
Karibu tena JF Number 1 Celebrity......
Nami natamani kama ningekuwepo siku unatoka kifungoni nikakupokea kwa mapokezi unayostahili(shangwe na nderemo na mbinja kwa sana).....
Karibu sana na hakika Jukwaa litachangamka na michango yako mitamu....
Ramadhan Kareem mpendwa wangu FaizaFoxy
Bala.
Mhh! Hayo maneno yenu! Ramadhani hii!
EMT najuwa ulinitetea sana nilipokuwa banned. Ahsante kwa hilo, napenda kuwaombea wafungwa wenzangu wote waachiwe huru kama nilivyoachiwa mimi. Ikiwa hata wahaini wa kweli wanaachiwa magerezani na Serikali kwa misaha mbali mbali nadhani itakuwa ni busara kubwa Rais wa JF akisita kundelea kuwanyanyasa wale wanaoifanya JF iwe JF na kuwapa msamaha na kuwawachia huru kama nilivyoachiwa mimi. Nawatakia wote Ramadhan njema.