Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Aje tumemmis sana humu .

Huko kwenye ualimu kuna mabadiliko mengi aje atujuze.

Nasikia wanatakiwa waji upgrade la sivyo warudi darasani.

Serikali imeanisha Sifa na vigezo vipya vya walimu wa msingi Na sekondari.

Ambao hawana Sifa hawafukuzwa lakini wakasome.

Tuseme hapana ualimu pasipo elimu ya kutosha (UPE).
 
Picha yake

Screenshot_20230513-074819~2.png
 
Aje tumemmis sana humu .

Huko kwenye ualimu kuna mabadiliko mengi aje atujuze.

Nasikia wanatakiwa waji upgrade la sivyo warudi darasani.

Serikali imeanisha Sifa na vigezo vipya vya walimu wa msingi Na sekondari.

Ambao hawana Sifa hawafukuzwa lakini wakasome.

Tuseme hapana ualimu pasipo elimu ya kutosha (UPE).
Kabisa mkuu tunamsubiri aje
 
May Mosi yote Mpwayungu hukuwepo hewani.

Walimu wamesema hawajui jinsi ya kutumia vishikwambi walivyopewa na Mwajiri wao! [emoji848]

Eti wanaomba wafundishwe jinsi ya kuvitumia!

Kwa njia ya semina au in-house?!
Wanaenda navyo vilabuni na kudanganya walevi kwamba wao ni maafsa usalama wa nchi na taifa kwa ujumla wake.
 
Back
Top Bottom