Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Aje tumemmis sana humu .

Huko kwenye ualimu kuna mabadiliko mengi aje atujuze.

Nasikia wanatakiwa waji upgrade la sivyo warudi darasani.

Serikali imeanisha Sifa na vigezo vipya vya walimu wa msingi Na sekondari.

Ambao hawana Sifa hawafukuzwa lakini wakasome.

Tuseme hapana ualimu pasipo elimu ya kutosha (UPE).
Hivi huwaga mnakosa kazi au!?
 
Ukituliza akili na hisia utagundua mpwayungu village huwa hana lengo la kutukana wala kudhalilisha walimu Bali hutumia ujumbe wa ukweli mchungu kupaza sauti za walimu Kwa serikali.

Amini nakwambia, viongozi wakubwa wa nchi hupita huku Jf kusoma nyuzi mbalimbali na wanazoona Zina mashiko huwa wanazichukua na kuzifanyia kazi. Na ndo maana unaona kupitia nyuzi za walimu hapa JF zimesababisha Hadi juzi kati hapo masilahi ya walimu kujadiliwa bungeni kupitia Kwa naibu waziri wa elimu ambapo alisema serikali ipo kwenye mchakato wa kuwalipa walimu "extra time/over time work allowance" in Swahili "Posho ya masaa ya kazi ya ziada"

Hivyo basi mpwayungu village inatakiwa apewe shukrani za dhati katika kupambania masilahi ya walimu maana wengi wao ni waoga hawawezi kupaza sauti zao hata Kwa mratibu elimu kata.

Karibu sana Mpwayungu Village mtetezi wa walimu Kwa njia ya ukweli mchungu.
Mbona hatetei wagogo wenzie ambao ni ombaomba hapa nchini tangu uhuru mpaka Leo!? Percent kubwa ya ombaomba wa Dar ni wagogo mbona hawatetei!? Kwanini awe na uchungu na watu asio na nasaba nao awaache wagogo anaoshea nao tamaduni ,lugha,chakula,nk!??
 
Back
Top Bottom