Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Acha basi mkuu huyu si ana wachukia walimu eti ana mgodi mererani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] daaaah Mpwayungu noma sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenye mgodi hawaandiki upuuzi humu mkuu wapo busy na maisha yao sio kufuatilia maisha ya wengine
 
Ni furaha yangu kuwajuza kuwa mwanetu

Mpwayungu Village kaachiliwa huru kutoka kifungo hivyo tutegemee walimu wetu kutukanwa na kuendelea kupondwa kila siku

Iitwapo leo

Tumkaribishe upya
Ila hii nchi kwakweli ina wapumbavu wengi, ukiwemo wewe ye34nbe. Yaani unafurahia waliokutoa tongotongo kutukanwa? Walimu ambao hawajakufanyia kosa?

Mimi nilidhani mngeanzisha ligi ya kuwatukana mafisadi,wala rushwa na wahujumu uchumi, ila kinyume chake mna ligi na Walimu? Hii ni nchi ya ajabu sana.

Jambo jingine:ni nyie ndio mnalalamika maadili ya vijana yameshuka, mara ushoga na usagaji unatishia mustakabali wa watoto wetu, yet Mwalimu ambaye ilipaswa kushirikiana naye ili kumnasua mwanao na kadhia hiyo wewe ndo kwanza unakomaa kumtukana na kumcheka? πŸ€”
 
Ni utani mkuuu usichukulie kila kitu seriously πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Usilete utani kwenye mambo ya msingi. Wadau wengi hatupendezwi na hayo mambo anayoyafanya Mpwayungu Village, maana hayafai kwa jamii iliyostaarabika.

Sasa yeye aje aendeleze upuuzi wake kama hajarudi lupango au akatusababishia na wengine twende lupango, maana niko tayari ku-deal naye.
 
Utampatia wapi sasa mkuuu
 
Back
Top Bottom