Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

Ukituliza akili na hisia utagundua mpwayungu village huwa hana lengo la kutukana wala kudhalilisha walimu Bali hutumia ujumbe wa ukweli mchungu kupaza sauti za walimu Kwa serikali.

Amini nakwambia, viongozi wakubwa wa nchi hupita huku Jf kusoma nyuzi mbalimbali na wanazoona Zina mashiko huwa wanazichukua na kuzifanyia kazi. Na ndo maana unaona kupitia nyuzi za walimu hapa JF zimesababisha Hadi juzi kati hapo masilahi ya walimu kujadiliwa bungeni kupitia Kwa naibu waziri wa elimu ambapo alisema serikali ipo kwenye mchakato wa kuwalipa walimu "extra time/over time work allowance" in Swahili "Posho ya masaa ya kazi ya ziada"

Hivyo basi mpwayungu village inatakiwa apewe shukrani za dhati katika kupambania masilahi ya walimu maana wengi wao ni waoga hawawezi kupaza sauti zao hata Kwa mratibu elimu kata.

Karibu sana Mpwayungu Village mtetezi wa walimu Kwa njia ya ukweli mchungu.
Haswaaaah
 
Ni furaha yangu kuwajuza kuwa mwanetu

Mpwayungu Village kaachiliwa huru kutoka kifungo hivyo tutegemee walimu wetu kutukanwa na kuendelea kupondwa kila siku

Iitwapo leo


Tumkaribishe upya
Sikuwahi kuwatukana walimu hata siku moja, kama ipo lete ushahidi mezani. Asante sana Kwa kunikaribisha jukwani Mungu akubariki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom