Hatimaye Mr. Blue amuangukia Diamond Platnumz na kumuomba yaishe

Hatimaye Mr. Blue amuangukia Diamond Platnumz na kumuomba yaishe

Walikuwa wamegombana unyumba wa Wema Sepitu
 
sidhani kama ilikuwa beef ila ni malalamiko tu ambayo mr blue alikuwa akiyatoa kwa diamond, ikiwemo kujiita simba, kupita kila sehemu ambayo blue kapita (mademu, wema na naj) but juu ya malalamiko yote hayo mondi aliuchuna tu.
 
Bifu lilikua siri ya mleta mada peke yake kwa kweli.
Kwa mfuatiliaji wa bongo fleva haikua siri na Blue alikua anamponda Domo na Domo na watoto wa Kariakoo aliwaudhi alimzingua producer wake wa mwanzo Bob Junior ambaye ni ndugu na Rico ambaye ndio Godfather wa Blue na wanakariakoo kibao
 
UOTE="Chinga One, post: 27338086, member: 165688"]daah,hii familia kwa kweli ni shida unaweza ukapata vidonda vya tumbo kama ukigombana nao.😀😀😀😀[/QUOTE]
Ni Jeshi la watu wawili tu lakini no utakayoisoma km vile umesutwa na dunia nzima.......hawasuti tuu na vipigo juu.
 
Huu wimbo ulirekodiwa tangu zaman kabla ya mtoso,so baada ya mtoso wamejikuta hawana namna ya kuubania imebidi wautoe hivyo hivyo.
Ua jeusi lina maana kubwa hawaamini
Hawa jamaa wanazuga tu... Ukweli ni kwamba they got split kabisaa...

Hapo lazima mtu katembea kwa goti mpaka South...hakuna namna nyingine.
 
Huu wimbo ulirekodiwa tangu zaman kabla ya mtoso,so baada ya mtoso wamejikuta hawana namna ya kuubania imebidi wautoe hivyo hivyo.
Ua jeusi lina maana kubwa hawaamini
Really!!?

Ila video ni Current!!?
 
Diamond angekua na akili mbovu kama memba wa hii tim yake angekua alipo Mr Nice hivi sasa.. Sikuwahi kusikia poote hawa watu kua na bifu labda kama siku hizi msanii akiwa mkubwa ila asifanye wimbo na Diamond basi inatafsiriwa kua bifu..

Na kama hiyo ndo maana basi Diamond yuko kwenye bifu kubwa na

Juma Kakere
Nguza Viking
Mzee Kitime
Koffi Olomide
Fally Ipupa
Ferre Gora
Gangstarr
Raekwon
Nas
Nyanshiski
Bamboo
Redsun nk

Memba wa hizi timu kama sista mtoa mada wore mnacream tako na mnanuka jicho
 
Back
Top Bottom