Hatimaye Mr. Blue amuangukia Diamond Platnumz na kumuomba yaishe

Zaman nimesahau kidogo ila kati ya mwezi wa kwanza hivi ndo walishoot. Wameamua kuitoa mwez huu.

Kuna uzi humu uliongelea hii kitu watu wakadhan ni ndoa kweli kumbe maandalizi ya wimbo
Really!!?

Ila video ni Current!!?
 
Mbna wenyewe hawasemi nyie ndyo mnawaongelea kama walikuwa na bifu?

Bifu siku zote zinaletwa na mashabiki tu kwa ujinga wao
 
''Mbwa Koko hawang'ati'' ... Byser Babylon.

-Kaveli-
 
Diamond sio Mungu. Wapongezeni timu yake, sio yeye. Yeye ni bango tuuu.
 
Kwani kuna habari gani?
 
Kwa mfuatiliaji wa bongo fleva haikua siri na Blue alikua anamponda Domo na Domo na watoto wa Kariakoo aliwaudhi alimzingua producer wake wa mwanzo Bob Junior ambaye ni ndugu na Rico ambaye ndio Godfather wa Blue na wanakariakoo kibao
Story za kusubiri Iftar hizi.
 
Sporah show ..blue alielezea mademu wote aliowapitia mond nae anawapitia...mond star wake blue kwa ajili mwanzo nae alikuwa anachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…