Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Le general dangote hajamuona??
Na anavyopenda sifa utashangaa anamposti wako kwenye "swiming'i puli" madale Wana kula raha
Tupia japo kapicha na sie wa kolomije tumuone
Maendeleo hayana Chama, Uwe Chadema Uwe ACT, uwe CUF, uwe CCM unaweza kula chombo hicho.Wakuu weekend hii imekuwa bomba sana hasa Tanzania kutembelewa na moja wa warembo wakali sana duniani namzungumzia Demirose, mrembo na model kutoka United Kingdom.
Tangu muda huyu mrembo alisema anapenda sana kufika Tanzania kutembea finally amefika
Mrembo huyu amefika Arusha Serengeti National Park anakula maisha akiwa pande hzo wamasai msituangushe kuleni chombo hio.
Hii inaonesha Tanzania ni nchi nzuri inapendwa sana na watu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ok, na yule bwana si anapita kuwasha Redio mitaa hiyo,je analijua hilo?
Ok, na yule bwana si anapita kuwasha Redio mitaa hiyo,je analijua hilo?
Mbona demu wangu kamzidi kwa mbali mno uzuri
Hiki ni chombo kweli kweli
Yuko wapi