Hatimaye mrembo wa kimataifa, Demirose awasili Tanzania

Hatimaye mrembo wa kimataifa, Demirose awasili Tanzania

Wakuu weekend hii imekuwa bomba sana hasa Tanzania kutembelewa na moja wa warembo wakali sana duniani namzungumzia Demirose, mrembo na model kutoka United Kingdom.

Tangu muda huyu mrembo alisema anapenda sana kufika Tanzania kutembea finally amefika

Mrembo huyu amefika Arusha Serengeti National Park anakula maisha akiwa pande hzo wamasai msituangushe kuleni chombo hio.

Hii inaonesha Tanzania ni nchi nzuri inapendwa sana na watu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Sidainalee..Wamaasai hatuwezi kukuangusha Bablai,,Shiee asheinalee
 
Hilo la mrembo linatusaidia nini kwenye kulipa ada ya watoto hii January [emoji36][emoji23]
 
Back
Top Bottom